kombe la FIFA mwafrica kawahi kulichukua?Halafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu.Mmakonde,Mmachinga,Mmsai,Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Hivi usichoelewa wewe ni kipi kuwa vitabu viliachwa na watu mbalimbali kanisa limekuja kuunganisha baadhi ya hivyo vitabuHujajibu kama kanisa liliamua lilishindwa vipi kujitaja humo. Kuna hadi ramani mwishoni ina maana walishindwa hata kutaja mwanzo wa kanisa lenyewe?
kuhubiria wafuSasa Yesu alishuka kuzimu kufanya nini ??
Asantekuhubiria wafu
Ni ya wote wala si ya kanisa ndio maana hata wewe leo unatumiaKwaio kanisa baada ya kuviunganisha ndo lika take ownership?
Sawa. Nakubali tumekopi.
Ila hatujakopi kila kitu. Mfano ushoga kwa ma padre, kunajisi watoto wadogo wa kiume hayo tumewaachieni the so called kanisa la mitume
Ndio ni mali ya Katoliki nahisi unaelewa nini maana ya katoliki ndio maana inatumika na makanisa mengi tu bila bughzaSio wewe ulikua unasema Biblia ni mali ya katoliki? Angalau kuwa na msimamo basi ndugu Katekista tujue tunajadili nini
Tumesha yazungumza kwenye huu uzi mpaka inakera kurudia rudiaNdo mmeshadhibitisha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie jamaa aisee, kwanini usilete neno zima linalozungumzia kuhubiria wafu hapa tulijadili?
Angalia imani ya Kanisa na sio dhambi za mtuSawa mkuu. Ila angalau hapa ninapoabudu uongozi wa juu wa kanisa haujapitisha ndoa za jinsia moja. Wala hatujawahi kupata tuhuma za kunajisi watoto wadogo. Hayo mambo endeleeni nayo nyie the so called kanisa la mitume
What a nonsense
Biblia inasema hivi katika Waebrania 9:27
"Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu"
Hayo mengine mmesema nyie kwamba mnaombewa na wafu
Basi kama unaona ovu basi achana na kile ambacho wao ni jasho lao na wewe unakitumia (Bible)Imani ya kanisa imejipambanua tangu enzi na enzi wakati linafanya mauaji kipindi cha great roman empire
Am Proud to be Catholic,kuanzia mababu wa mababu zangu mpaka kizazi changu mwenyewe,na itabaki kuwa hivyo mpaka mwisho wa Dahari.Nimezaliwa Mkatoliki, Nitauishi ukatoliki, nitakufa nikiwa Mkatoliki.
Najibu kulingana na humu , Kuna mtu kasema wakristo wanaabudu Sanamu ndio nikamuuliza ,We kafiri kama kawaida yako kuchafua mada. Hapa wanazungumzia kuhusu Catholic church. Anzisha uzi mwingine tukujibu. Bila kusahau lile swali ambalo ulishindwa kujibu kuhusu ujinga wa Mungu anayezungumzia paulo
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Alafu unajivunia kabisa kijiita muta boy , unaelewa mutah ni umalaya alianzisha Allah?We kafiri kama kawaida yako kuchafua mada. Hapa wanazungumzia kuhusu Catholic church. Anzisha uzi mwingine tukujibu. Bila kusahau lile swali ambalo ulishindwa kujibu kuhusu ujinga wa Mungu anayezungumzia paulo
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Hiyo ibn Abbas umeitoa wapi? Na umeshawahi kusikia wapi tafsiri ya ibn Abbas? Nyie watu zero brain.Najibu kulingana na humu , Kuna mtu kasema wakristo wanaabudu Sanamu ndio nikamuuliza ,
Kwa nini Allah mwenyewe alitengeneza masanamu?
Msaidie kujibu
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Proud to be CatholicUpo sahihi mkuu kuna uwezekano mimi ni mjinga.
Mkuu mimi nimezaliwa na wazazi wanaoabudu kanisa la Roma kwa hiyo kama ni kutumia assets za kiroma basi ndo zimenikuza na kunifikisha hapa nilipo.
Nimezaliwa katika hospital ya Huruma inamilikiwa na shirika la Roman Catholic la ma sister wa st Joseph Rombo.
Nimesoma shule ya st Ritaliza primary school Kilimanjaro.
Secondary nikasoma st Amedeus Kilema Kilimanjaro mpaka advance.
Chuo kikuu nikasoma The Catholic University of Health and Allied Sciences - Bugando (CUHAS-BUGANDO)
Kituo changu cha kazi ni Consolata Hospital Ikonda-Makete.
Mke wangu na yeye alilelewa kituo cha watoto yatima St.Francis Boma Hai.
Kanisa la Roma ni zaidi ya kusali. Ni sehemu ya maisha ya waumini wake.
Kanisa la Roma halina ule utaratibu wa maombi na kununua mafuta.ila ukiumwa utaelekezwa hospital. Na kanisa hili lina hospital za kisasa nchi nzima. Ni kanisa linalosimamia misingi ya sayansi kuliko unavyoweza kufikiria.
Kanisa la Roma pia linaamini sana katika elimu. Kanisa hili limeweza ku survive miaka yote hii kwa sababu ya kuwekeza katika elimu. Ndo maana inavyuo mbalimbali nchi nzima
SAUT, ST.JOHN DODOMA ETC.
Kanisa hili pia halipo nyuma katika financial institutions lina MKOMBOZI BANK.
Kanisa Catholic halikusimamii wewe kwenda mbinguni tu ila linahitaji pia kuhakikisha unapata mahitaji yako muhimu kwa ubora kabisa.
View attachment 2148261
Unijibu wakorintho hiyo 1 25. Nitakupa verse za kwenye biblia kuhusu umalaya utakimbia wewe hapa.Alafu unajivunia kabisa kijiita muta boy , unaelewa mutah ni umalaya alianzisha Allah?
Na wewe😅😅😅 usiwe kama wale wadhanio kila mzungu ni tajiri/ ana helaUshawahi kuona mkatoliki mwenye akili ndogo?
Amina sana, ukatoliki ndio utamaduni wetu! Ndio desturi yetu!Am Proud to be Catholic,kuanzia mababu wa mababu zangu mpaka kizazi changu mwenyewe,na itabaki kuwa hivyo mpaka mwisho wa Dahari.