Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Halafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu.Mmakonde,Mmachinga,Mmsai,Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
kombe la FIFA mwafrica kawahi kulichukua?


endeleeni kuwa dona countries kwa chuki zenu
 
Hujajibu kama kanisa liliamua lilishindwa vipi kujitaja humo. Kuna hadi ramani mwishoni ina maana walishindwa hata kutaja mwanzo wa kanisa lenyewe?
Hivi usichoelewa wewe ni kipi kuwa vitabu viliachwa na watu mbalimbali kanisa limekuja kuunganisha baadhi ya hivyo vitabu
 
Sawa. Nakubali tumekopi.

Ila hatujakopi kila kitu. Mfano ushoga kwa ma padre, kunajisi watoto wadogo wa kiume hayo tumewaachieni the so called kanisa la mitume

Je, hayo pia yamo kwenye Biblia?
 
Sio wewe ulikua unasema Biblia ni mali ya katoliki? Angalau kuwa na msimamo basi ndugu Katekista tujue tunajadili nini
Ndio ni mali ya Katoliki nahisi unaelewa nini maana ya katoliki ndio maana inatumika na makanisa mengi tu bila bughza
 
Ndo mmeshadhibitisha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyie jamaa aisee, kwanini usilete neno zima linalozungumzia kuhubiria wafu hapa tulijadili?
Tumesha yazungumza kwenye huu uzi mpaka inakera kurudia rudia
 
Sawa mkuu. Ila angalau hapa ninapoabudu uongozi wa juu wa kanisa haujapitisha ndoa za jinsia moja. Wala hatujawahi kupata tuhuma za kunajisi watoto wadogo. Hayo mambo endeleeni nayo nyie the so called kanisa la mitume
Angalia imani ya Kanisa na sio dhambi za mtu
 
What a nonsense

Biblia inasema hivi katika Waebrania 9:27

"Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu"

Hayo mengine mmesema nyie kwamba mnaombewa na wafu

Endelea kidogo hadi 28, kama lengo lako sio kubishana utaelewa…. tatizo la kunyofoa kifungu kinachokufurahisha tu.
 
Imani ya kanisa imejipambanua tangu enzi na enzi wakati linafanya mauaji kipindi cha great roman empire
Basi kama unaona ovu basi achana na kile ambacho wao ni jasho lao na wewe unakitumia (Bible)

Huoni kama wanakudanganya au wanakupoteza kwenye imani
 
We kafiri kama kawaida yako kuchafua mada. Hapa wanazungumzia kuhusu Catholic church. Anzisha uzi mwingine tukujibu. Bila kusahau lile swali ambalo ulishindwa kujibu kuhusu ujinga wa Mungu anayezungumzia paulo

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Najibu kulingana na humu , Kuna mtu kasema wakristo wanaabudu Sanamu ndio nikamuuliza ,
Kwa nini Allah mwenyewe alitengeneza masanamu?
Msaidie kujibu

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
We kafiri kama kawaida yako kuchafua mada. Hapa wanazungumzia kuhusu Catholic church. Anzisha uzi mwingine tukujibu. Bila kusahau lile swali ambalo ulishindwa kujibu kuhusu ujinga wa Mungu anayezungumzia paulo

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Alafu unajivunia kabisa kijiita muta boy , unaelewa mutah ni umalaya alianzisha Allah?
 
Najibu kulingana na humu , Kuna mtu kasema wakristo wanaabudu Sanamu ndio nikamuuliza ,
Kwa nini Allah mwenyewe alitengeneza masanamu?
Msaidie kujibu

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Hiyo ibn Abbas umeitoa wapi? Na umeshawahi kusikia wapi tafsiri ya ibn Abbas? Nyie watu zero brain.

Una Google bila kuwa na uhakika.

Hizo propaganda wenzako wa magharibi wamejitahidi kutunga uongo wa kila aina bila mafanikio.

Hiyo aya ya wakorintho 1 25 inakusumbua nini kujibu?
 
Upo sahihi mkuu kuna uwezekano mimi ni mjinga.

Mkuu mimi nimezaliwa na wazazi wanaoabudu kanisa la Roma kwa hiyo kama ni kutumia assets za kiroma basi ndo zimenikuza na kunifikisha hapa nilipo.

Nimezaliwa katika hospital ya Huruma inamilikiwa na shirika la Roman Catholic la ma sister wa st Joseph Rombo.

Nimesoma shule ya st Ritaliza primary school Kilimanjaro.



Secondary nikasoma st Amedeus Kilema Kilimanjaro mpaka advance.



Chuo kikuu nikasoma The Catholic University of Health and Allied Sciences - Bugando (CUHAS-BUGANDO)

Kituo changu cha kazi ni Consolata Hospital Ikonda-Makete.

Mke wangu na yeye alilelewa kituo cha watoto yatima St.Francis Boma Hai.



Kanisa la Roma ni zaidi ya kusali. Ni sehemu ya maisha ya waumini wake.



Kanisa la Roma halina ule utaratibu wa maombi na kununua mafuta.ila ukiumwa utaelekezwa hospital. Na kanisa hili lina hospital za kisasa nchi nzima. Ni kanisa linalosimamia misingi ya sayansi kuliko unavyoweza kufikiria.



Kanisa la Roma pia linaamini sana katika elimu. Kanisa hili limeweza ku survive miaka yote hii kwa sababu ya kuwekeza katika elimu. Ndo maana inavyuo mbalimbali nchi nzima

SAUT, ST.JOHN DODOMA ETC.



Kanisa hili pia halipo nyuma katika financial institutions lina MKOMBOZI BANK.



Kanisa Catholic halikusimamii wewe kwenda mbinguni tu ila linahitaji pia kuhakikisha unapata mahitaji yako muhimu kwa ubora kabisa.

View attachment 2148261
Proud to be Catholic
 
Alafu unajivunia kabisa kijiita muta boy , unaelewa mutah ni umalaya alianzisha Allah?
Unijibu wakorintho hiyo 1 25. Nitakupa verse za kwenye biblia kuhusu umalaya utakimbia wewe hapa.
 
Katoliki hakuna maneno sababu kuna pesa kama vile ccm wnaavyotukanwa lakin wala hawajal
 
Am Proud to be Catholic,kuanzia mababu wa mababu zangu mpaka kizazi changu mwenyewe,na itabaki kuwa hivyo mpaka mwisho wa Dahari.
Amina sana, ukatoliki ndio utamaduni wetu! Ndio desturi yetu!
 
Back
Top Bottom