Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Acha ubishi wewe kamwenyekiti ka jumuiya ,umekumbatia ka chuo kako kadogo ka sala na kikatekisimu unaona umemaliza.Hiki ni kituko Cha Karne.
Nipe andiko Moja TU ambalo Mungu alikubali ibada ya Sanamu agano la kale NAMI nitakuja unibatize.
Narudia.
Nipe andiko Moja TU.
Acheni kukurupuka na maandiko.
Ni wapi Musa alijenga hekalu wewe Padri, unafikiri ibada ni hadi pawe jengo na mnara mrefu na kengele ndaniNyoka aliyeinuliwa hakuwahi kuwekwa ndani ya hekalu.
Kwa hiyo mfano wako ni mfu.
Ndani ya hekalu palikuwa na Sanamu.
Niambie kazi yake ilikuwa Nini kama kweli umeiva kimaandiko.
1 Wafalme 6:23 :
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni
sanamu za viumbe wawili wenye mabawa, kila sanamu ikiwa na kimo cha mita 4.5, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.
Kwani unadhani ni kitu gani kilimgeuza akaikataa sadaka ya kuteketeza mifugo?Kwamba Mungu alikuwa anakubali ibada ya Sanamu agano la kale?
Ni kitu Gani kilimgeuza akaikataa kwenye agano Jipya?
Hujioni ulivyo na uelewa mdogo?
Wewe unafikiri Yesu anakaa ndani ya nafsi chafu ee, wewe jipe guarantee tuu kwamba ukikomunika Yesu tayari yumo ndani yako.Nashiriki meza ya Bwana kwa kufanya hivyo Yesu hukaa ndani yangu
Mutah boy , huwa mnashangaza sana ya kujibu ni ngumu mpaka unafikia atu ya kumpinga binamu yake Muhammad ibn abbas ili tu udanganye umma , uislamu bila uongo haiwezekaniHiyo ibn Abbas umeitoa wapi? Na umeshawahi kusikia wapi tafsiri ya ibn Abbas? Nyie watu zero brain. Una Google bila kuwa na uhakika.
Hizo propaganda wenzako wa magharibi wamejitahidi kutunga uongo wa kila aina bila mafanikio. Hiyo aya ya wakorintho 1 25 inakusumbua nini kujibu?
ʿAbdullah ibn Abbas (Arabic: عَبْد ٱللَّٰه ٱبْن عَبَّاس, romanized: ʿAbd Allāh ibn Abbās; c. 619– 687 CE), also known as Ibn Abbas, was one of the cousins of the Islamic prophet Muhammad.Hiyo ibn Abbas umeitoa wapi? Na umeshawahi kusikia wapi tafsiri ya ibn Abbas? Nyie watu zero brain. Una Google bila kuwa na uhakika.
Hizo propaganda wenzako wa magharibi wamejitahidi kutunga uongo wa kila aina bila mafanikio. Hiyo aya ya wakorintho 1 25 inakusumbua nini kujibu?
kwa nini unajiita son of mutah , ni kwamba baba yako hajulikani au? allah alianzisha mutah akasahau matokeo ya mutah ni mtoto kutokujua baba yakeUnijibu wakorintho hiyo 1 25. Nitakupa verse za kwenye biblia kuhusu umalaya utakimbia wewe hapa.
Kitabu gani aliandika cha tafsiri we kafiri. Hiyo labda mnatambua huko Sunday schools kwenye mungu aliyevuliwa nguo zote na katundikwa. Na Paulo anamtambua kama ana upumbavu na udhaifu
Usipende kulazimisha we vitu kafiri mkubwa. Hakuna tafsir ya ibn Abbas. Google imekuingiza chaka. Makafiri wenzako hawatumii hizo reference.Mutah boy , huwa mnashangaza sana ya kujibu ni ngumu mpaka unafikia atu ya kumpinga binamu yake Muhammad ibn abbas ili tu udanganye umma , uislamu bila uongo haiwezekani
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
utuambie kati yako na binamu yake muhammad nani anaweza kuelezea koran
son of mutah unapinga maandiko yako mbele za watu, uislamu bila uongo haupoKitabu gani aliandika cha tafsiri we kafiri. Hiyo labda mnatambua huko Sunday schools kwenye mungu aliyevuliwa nguo zote na katundikwa. Na Paulo anamtambua kama ana upumbavu na udhaifu
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Jikite kujibu maswali mambo ya ibn abbas huyawezi kijanaUsipende kulazimisha we vitu kafiri mkubwa. Hakuna tafsir ya ibn Abbas. Google imekuingiza chaka. Makafiri wenzako hawatumii hizo reference.
Jitahidi kwenye kukata aya kwa kutumia tafsiri za Vatican
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Hiyo tafsir hakuna usilazimishe mambo. Tafuta kitabu chochote authentic unachokijua kama utakipata. Hata mimi naweza kuandika vitu hivyo we kafiri kwenye kiblog uchwara.Jikite kujibu maswali mambo ya ibn abbas huyawezi kijana
'Abd Allah ibn Abbas was highly regarded for his knowledge of traditions and his critical interpretation of the Qur'an. From early on, he gathered information from other companions of Muhammad and gave classes and wrote commentaries
Jibu kwa nini allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?
Wewe itakuwa sio muislamu , muislamu ni sunn tu wengine mna edit sana uislamu na mnapinga mambo mengi sana ya muhammadKitabu gani aliandika cha tafsiri we kafiri. Hiyo labda mnatambua huko Sunday schools kwenye mungu aliyevuliwa nguo zote na katundikwa. Na Paulo anamtambua kama ana upumbavu na udhaifu
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Hili swali unashindwa kugoogle kupata jibu?kwa nini unajiita son of mutah , ni kwamba baba yako hajulikani au? allah alianzisha mutah akasahau matokeo ya mutah ni mtoto kutokujua baba yake
La ibn abbas tumemaliza sasa jibu swali , Kwa nini Allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitiniHiyo tafsir hakuna usilazimishe mambo. Tafuta kitabu chochote authentic unachokijua kama utakipata. Hata mimi naweza kuandika vitu hivyo we kafiri kwenye kiblog uchwara.
Usilazimishe vitu ambavyo havipo. Na hii siwezi kukuacha hadi ujibu unitajie upumbavu wa Mungu ni upi na udhaifu? Hili swali haujawahi kujibu wala kukanusha kama maneno ya uongo.
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Ata kama wewe ni mtoto matokeo ya Mutah , si vyema kujiita son of muta , medisonmuta jithamini badili jina , ingia kwenye account yako badili jina ndani ya siku moja admini wanalibadiliHili swali unashindwa kugoogle kupata jibu?
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Many scholars have clarified that this work is not authentically attributed to ibn ʿAbbas.[3] The translators of the work into English have detailed in their introduction to the work:Wewe itakuwa sio muislamu , muislamu ni sunn tu wengine mna edit sana uislamu na mnapinga mambo mengi sana ya muhammad
wa Sunni wanamuona Ibn abbas ni bingwa wa wote kwenye tafsir , ndio maana unaona kina Kisai nikiweka tafsir ya ibn abbas wanakuwa kimya na kuficha mikia
Sunni view him as the most knowledgeable of the Companions in tafsir.
There is no doubt that this commentary is not the work of Ibn ʿAbbas. The chain of transmitters of this commentary goes back to Muḥammad ibn Marwān -> al-Kalbi -> Abū Ṣāliḥ which is described by Hadith experts as the chain of lies (silsilat al-kadhib), for this line of transmission is utterly dubious and unreliable. One does not even need to use the criteria for reliable transmission applied by Hadith experts to decide this commentary’s wrong attribution to ibn ʿAbbas. It is easy to detect obvious anomalies in the text of Tanwir al-Miqbas which leave one with no doubt that whoever wrote it lived many centuries after ibn ʿAbbas. One finds it, for instance, references to Hasan al-Basri, aṣ-Ṣuddi and even the grammarian Yaḥya ibn Ziyād al Farraʾ(d. 207/822).6 In a few places, after giving different meanings of the same verse, the author(s) or compiler(s) proceed(s) to say: “… and this is the opinion of ibn ʿAbbas” or: “ibn ʿAbbas says…”, forgetting that the entire commentary is supposed to be an accurate transmission of what is narrated from ibn ʿAbbas. [
Kwa hiyo uache uongo kijana Kwa kugoogle mashudu bila kuwa na ufahamu. Sawa kijana.Ata kama wewe ni mtoto matokeo ya Mutah , si vyema kujiita son of muta , medisonmuta jithamini badili jina , ingia kwenye account yako badili jina ndani ya siku moja admini wanalibadili
scholar waliozaliwa juzi kina zakir naiki hawana uwezo wowote wa kumpinga ibn abbasMany scholars have clarified that this work is not authentically attributed to ibn ʿAbbas.[3] The translators of the work into English have detailed in their introduction to the work: