Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Akili ndogo ndiyo mtaji wa makanisa ya kileo (they call it makanisa ya kiroho). Mnanyweshwa mafuta, maji ya Canadian halafu mnasema hamfanyi ibada za sanamu 🤣🤣🤣. Kunamtu akiumwa tu anakimbilia mafuta😎 my friend wewe na mchawi mpo kundi moja tofauti vifaa tu
 
Hiki ni kituko Cha Karne.
Nipe andiko Moja TU ambalo Mungu alikubali ibada ya Sanamu agano la kale NAMI nitakuja unibatize.

Narudia.
Nipe andiko Moja TU.

Acheni kukurupuka na maandiko.
Acha ubishi wewe kamwenyekiti ka jumuiya ,umekumbatia ka chuo kako kadogo ka sala na kikatekisimu unaona umemaliza.

Numbers 21:8-9
[8]And the LORD said unto Moses, Make thee a fiery serpent, and set it upon a pole: and it shall come to pass, that every one that is bitten, when he looketh upon it, shall live.

Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.

[9]And Moses made a serpent of brass, and put it upon a pole, and it came to pass, that if a serpent had bitten any man, when he beheld the serpent of brass, he lived.

Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi. Safari Kuelekea Moabu
 
Nyoka aliyeinuliwa hakuwahi kuwekwa ndani ya hekalu.
Kwa hiyo mfano wako ni mfu.
Ndani ya hekalu palikuwa na Sanamu.
Niambie kazi yake ilikuwa Nini kama kweli umeiva kimaandiko.

1 Wafalme 6:23 :
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni
sanamu za viumbe wawili wenye mabawa, kila sanamu ikiwa na kimo cha mita 4.5, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.
Ni wapi Musa alijenga hekalu wewe Padri, unafikiri ibada ni hadi pawe jengo na mnara mrefu na kengele ndani
 
Kwamba Mungu alikuwa anakubali ibada ya Sanamu agano la kale?

Ni kitu Gani kilimgeuza akaikataa kwenye agano Jipya?

Hujioni ulivyo na uelewa mdogo?
Kwani unadhani ni kitu gani kilimgeuza akaikataa sadaka ya kuteketeza mifugo?
 
Nashiriki meza ya Bwana kwa kufanya hivyo Yesu hukaa ndani yangu
Wewe unafikiri Yesu anakaa ndani ya nafsi chafu ee, wewe jipe guarantee tuu kwamba ukikomunika Yesu tayari yumo ndani yako.

Yesu anachotaka ni moyo uliopondeka mbele zake ili akae ndani yako na siyo kupokea ekaristi
 
Hiyo ibn Abbas umeitoa wapi? Na umeshawahi kusikia wapi tafsiri ya ibn Abbas? Nyie watu zero brain. Una Google bila kuwa na uhakika.
Hizo propaganda wenzako wa magharibi wamejitahidi kutunga uongo wa kila aina bila mafanikio. Hiyo aya ya wakorintho 1 25 inakusumbua nini kujibu?
Mutah boy , huwa mnashangaza sana ya kujibu ni ngumu mpaka unafikia atu ya kumpinga binamu yake Muhammad ibn abbas ili tu udanganye umma , uislamu bila uongo haiwezekani

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu,

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Utuambie kati yako na binamu yake muhammad nani anaweza kuelezea koran
 
Hiyo ibn Abbas umeitoa wapi? Na umeshawahi kusikia wapi tafsiri ya ibn Abbas? Nyie watu zero brain. Una Google bila kuwa na uhakika.
Hizo propaganda wenzako wa magharibi wamejitahidi kutunga uongo wa kila aina bila mafanikio. Hiyo aya ya wakorintho 1 25 inakusumbua nini kujibu?
ʿAbdullah ibn Abbas (Arabic: عَبْد ٱللَّٰه ٱبْن عَبَّاس, romanized: ʿAbd Allāh ibn Abbās; c. 619– 687 CE), also known as Ibn Abbas, was one of the cousins of the Islamic prophet Muhammad.

He is considered to be the greatest mufassir of the Qur'an
 
Unijibu wakorintho hiyo 1 25. Nitakupa verse za kwenye biblia kuhusu umalaya utakimbia wewe hapa.
kwa nini unajiita son of mutah , ni kwamba baba yako hajulikani au? allah alianzisha mutah akasahau matokeo ya mutah ni mtoto kutokujua baba yake
 
ʿAbdullah ibn Abbas (Arabic: عَبْد ٱللَّٰه ٱبْن عَبَّاس, romanized: ʿAbd Allāh ibn Abbās; c. 619– 687 CE), also known as Ibn Abbas, was one of the cousins of the Islamic prophet Muhammad. He is considered to be the greatest mufassir of the Qur'an
Kitabu gani aliandika cha tafsiri we kafiri. Hiyo labda mnatambua huko Sunday schools kwenye mungu aliyevuliwa nguo zote na katundikwa. Na Paulo anamtambua kama ana upumbavu na udhaifu

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Mutah boy , huwa mnashangaza sana ya kujibu ni ngumu mpaka unafikia atu ya kumpinga binamu yake Muhammad ibn abbas ili tu udanganye umma , uislamu bila uongo haiwezekani
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

utuambie kati yako na binamu yake muhammad nani anaweza kuelezea koran
Usipende kulazimisha we vitu kafiri mkubwa. Hakuna tafsir ya ibn Abbas. Google imekuingiza chaka. Makafiri wenzako hawatumii hizo reference.
Jitahidi kwenye kukata aya kwa kutumia tafsiri za Vatican

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Kitabu gani aliandika cha tafsiri we kafiri. Hiyo labda mnatambua huko Sunday schools kwenye mungu aliyevuliwa nguo zote na katundikwa. Na Paulo anamtambua kama ana upumbavu na udhaifu

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
son of mutah unapinga maandiko yako mbele za watu, uislamu bila uongo haupo

huyo jamaa ndie bingwa wa kuelezea koran na alikuwa binamu yake Muhammad , wewe umezaliwa juzi unaleta janja janja za kumpinga ndugu yake muhammad

He is considered to be the greatest mufassir of the Qur'an

Hili tumemaliza sasa jibu kwa nini allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?
 
Usipende kulazimisha we vitu kafiri mkubwa. Hakuna tafsir ya ibn Abbas. Google imekuingiza chaka. Makafiri wenzako hawatumii hizo reference.
Jitahidi kwenye kukata aya kwa kutumia tafsiri za Vatican

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Jikite kujibu maswali mambo ya ibn abbas huyawezi kijana

'Abd Allah ibn Abbas was highly regarded for his knowledge of traditions and his critical interpretation of the Qur'an. From early on, he gathered information from other companions of Muhammad and gave classes and wrote commentaries

Jibu kwa nini allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?
 
Hiyo tafsir hakuna usilazimishe mambo. Tafuta kitabu chochote authentic unachokijua kama utakipata. Hata mimi naweza kuandika vitu hivyo we kafiri kwenye kiblog uchwara.
Usilazimishe vitu ambavyo havipo. Na hii siwezi kukuacha hadi ujibu unitajie upumbavu wa Mungu ni upi na udhaifu? Hili swali haujawahi kujibu wala kukanusha kama maneno ya uongo.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Kitabu gani aliandika cha tafsiri we kafiri. Hiyo labda mnatambua huko Sunday schools kwenye mungu aliyevuliwa nguo zote na katundikwa. Na Paulo anamtambua kama ana upumbavu na udhaifu

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Wewe itakuwa sio muislamu , muislamu ni sunn tu wengine mna edit sana uislamu na mnapinga mambo mengi sana ya muhammad
wa Sunni wanamuona Ibn abbas ni bingwa wa wote kwenye tafsir , ndio maana unaona kina Kisai nikiweka tafsir ya ibn abbas wanakuwa kimya na kuficha mikia
Sunni view him as the most knowledgeable of the Companions in tafsir.
 
kwa nini unajiita son of mutah , ni kwamba baba yako hajulikani au? allah alianzisha mutah akasahau matokeo ya mutah ni mtoto kutokujua baba yake
Hili swali unashindwa kugoogle kupata jibu?
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Hiyo tafsir hakuna usilazimishe mambo. Tafuta kitabu chochote authentic unachokijua kama utakipata. Hata mimi naweza kuandika vitu hivyo we kafiri kwenye kiblog uchwara.
Usilazimishe vitu ambavyo havipo. Na hii siwezi kukuacha hadi ujibu unitajie upumbavu wa Mungu ni upi na udhaifu? Hili swali haujawahi kujibu wala kukanusha kama maneno ya uongo.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
La ibn abbas tumemaliza sasa jibu swali , Kwa nini Allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
Hili swali unashindwa kugoogle kupata jibu?
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Ata kama wewe ni mtoto matokeo ya Mutah , si vyema kujiita son of muta , medisonmuta jithamini badili jina , ingia kwenye account yako badili jina ndani ya siku moja admini wanalibadili
 
Wewe itakuwa sio muislamu , muislamu ni sunn tu wengine mna edit sana uislamu na mnapinga mambo mengi sana ya muhammad
wa Sunni wanamuona Ibn abbas ni bingwa wa wote kwenye tafsir , ndio maana unaona kina Kisai nikiweka tafsir ya ibn abbas wanakuwa kimya na kuficha mikia
Sunni view him as the most knowledgeable of the Companions in tafsir.
Many scholars have clarified that this work is not authentically attributed to ibn ʿAbbas.[3] The translators of the work into English have detailed in their introduction to the work:

There is no doubt that this commentary is not the work of Ibn ʿAbbas. The chain of transmitters of this commentary goes back to Muḥammad ibn Marwān -> al-Kalbi -> Abū Ṣāliḥ which is described by Hadith experts as the chain of lies (silsilat al-kadhib), for this line of transmission is utterly dubious and unreliable. One does not even need to use the criteria for reliable transmission applied by Hadith experts to decide this commentary’s wrong attribution to ibn ʿAbbas. It is easy to detect obvious anomalies in the text of Tanwir al-Miqbas which leave one with no doubt that whoever wrote it lived many centuries after ibn ʿAbbas. One finds it, for instance, references to Hasan al-Basri, aṣ-Ṣuddi and even the grammarian Yaḥya ibn Ziyād al Farraʾ(d. 207/822).6 In a few places, after giving different meanings of the same verse, the author(s) or compiler(s) proceed(s) to say: “… and this is the opinion of ibn ʿAbbas” or: “ibn ʿAbbas says…”, forgetting that the entire commentary is supposed to be an accurate transmission of what is narrated from ibn ʿAbbas. [
 
Ata kama wewe ni mtoto matokeo ya Mutah , si vyema kujiita son of muta , medisonmuta jithamini badili jina , ingia kwenye account yako badili jina ndani ya siku moja admini wanalibadili
Kwa hiyo uache uongo kijana Kwa kugoogle mashudu bila kuwa na ufahamu. Sawa kijana.
 
Many scholars have clarified that this work is not authentically attributed to ibn ʿAbbas.[3] The translators of the work into English have detailed in their introduction to the work:
scholar waliozaliwa juzi kina zakir naiki hawana uwezo wowote wa kumpinga ibn abbas

wewe Jibu kwa nini allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?
 
Back
Top Bottom