Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Huyu uthaman juzi juzi alisema Muhammad sio abrahamic , Muhammad alikuwa mpagani,
Huyo jamaa ni muongo sana

Akadanganya jibril alimsalimia muhammad walivyo onana kwa mara ya kwanza , wakati inajulikana wazi alimkaba bila salamu
Ulisikiliza hiyo debate.
 
Nimeangalia Haina majibu kwa nini mnabusu jiwe

Why are you kissing the stone?
Nimekuwekea video hapo. Imezungumziwa 'weak hadith' uliyokuwa unang'ang'ania.

Maelezo yapo hapo chini. Unaweza kubusu au kuacha sio lazima.


 
Yani naona huelewi swali

Ni kwa Nini unabusu jiwe ?

Ile sio weak Hadith imekuwa grade kama Good
 
Ewaa...tukimaliza hapo ni kawine na kitimoto Rost hatuna habari
 
Yani naona huelewi swali

Ni kwa Nini unabusu jiwe ?

Ile sio weak Hadith imekuwa grade kama Good
Haujaona au unafanya kusudi?
Kumeweka hadi reference na hakuna commentaries za link uliyonitumia ambayo hakuna jibu
 
Nimesoma , wanaelezea jiwe halina maana , na kwamba Umar ndio yupo sawa Kuliko muhammad , alipo sema jiwe halina maana yoyote

Kwenye hili Mimi nampinga Umar na namaupport Muhammad kwamba jiwe linamaana
Tukikubali halina maana tunampinga mpaka Allah alielishusha
 
Nenda YouTube kam search uthaman akisema Muhammad hakuwa abrahamic na walikuwa wapagani

Na history ya jiwe imeanza kwa wapagani
 
Nimekuambia ujifunze. Hadith zote zinakusanywa. Usibebe kichwa kichwa kila unayoiona ukadhani sahihi.
Angalia hiyo debate David Wood, Sam na Anton wakiwa peke yao wanadanganya watu. Walivyochemka debate na mtu mmoja Kwa kuvamia fani sio yao.



Uthaman kachomoa betri, Kuna msemo unasema , ukesema ukweli hautaji kuwa na kumbukumbu

Ila ukiwa unaongea uongo kumbukumbu inatakiwa iwe juu Sana ndio kilichomkumba uthaman
 
Waislamu siwezi kuwasemea lakini Wakristo wengine wanawashutumu Wakatoliki kwa sababu wanafundisha mambo ambayo ni unbiblical na mambo ambayo yalirithiwa kutoka katika desturi za Dini za Kipagani za Kirumi na Kiyunani
Bhambie
 
Limewekeza katika biashara na mambo ya Dunia hii.
 
Sina hakika kama wataelewa. Wenzetu hawa wamepigwa upofu wa kiroho.
 
Hili nimemaliza na ibn abas aliweka sawa na kusema yaliwekwa msikitini tena ni masanamu ya mitume na malaika
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Shukrani.
 
Catholic ni kwa ajil ya watu wote sio kwa waroma peke yao.Ukiangalia official badge zao au ukikuta post zinazonyesha sehemu makanisa yao yalipo utakuta wameandika " kanisa katoliki parokia ya ......." Hutakuta neno Roma
Wanaona aibu kuita na kuandika Roman siku hizi
 
Ushawahi kuona mkatoliki mwenye akili ndogo?
Watakuwaje na akili ndogo wakati wanamtumikia Mungu wa Dunia hii? Mbona hujiulizi mlokole au msabato wa kweli anajua maandiko sawasawa kuzidi askofu mwenye PhD wa Roma ?? Ni mgawanyo tu. Wa mbiguni Wana wana tunu za mbiguni na Wa Dunia Wana tunu za duniani.
 
Kisai hili la masanamu ya Allah alimuwekea Suleiman muislamu tumemaliza

Umemuona sheikh mkubwa duniani uthman kasema muhammad hakuwa abrahamic na alikuwa mpagani?
Shukrani.

Uthman simjui.
 
Shukrani.

Uthman simjui.
Nenda kamsome ni moja ya mashehe wakubwa Sana kwa sasa , Kuna zakirinaiki na uthaman
Muangalie kidogo hapa , ila najua kingereza kwako ni shida jitaidi tafuta mtu akufanyie translation

 
Muwe mnaelewa
Ukristo ni kuamini utatu na kuamini Yesu ni Mungu kinyume Cha hapo sio ukristo

Kwa makanisa huwa tunakiri Imani ya kikristo kila tukiingia kwenye ibada ,

Namuamini Mungu baba ..
Namuamini Mungu mwana ...
Namuamini roho mtakatifu...

Zote baba ,mwana ,na Roho mtakatifu ni divine

Usipo amini hivyo wewe sio mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…