Ngoja nikufundishe kidogo.Kwa nini siyo ibada ya sanamu? Au nyoka wa shaba siyo sanamu?
Ibada ya Sanamu ni kuitegemea Sanamu na kuifanya ndio Mungu.
Nyoka wa Shaba enzi za Musa hakufanywa Mungu Kwa hiyo haikuwa Ibada ya Sanamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikufundishe kidogo.Kwa nini siyo ibada ya sanamu? Au nyoka wa shaba siyo sanamu?
Mkuu mimi nafahamu , baada ya kuja Yesu taratibu za ibada zilibadilika. Hatutazami tena nyoka wa shaba( mfano mnavyotazama ma misalaba na masanamu ya Maria kanisani) maana Yesu ndiyo nyoka wetu wa shaba aliyeinuliwa , pia hatutoi sadaka za damu tena kwa maana Yesu alimwaga damu tayari kwa ajili yetuNimegundua shida Yako ni kukariri.
Nikuachie homework.
Kama Mungu aliruhusu ibada ya Sanamu enzi za Musa,baadae akaikataa anashindwa Nini kuziruhusu Tena?.
Huyu mungu wako anayegeuza geuza maamuzi unamwamini vipi hawezi kubadili maamuzi na kutuhitaji tuabudu Tena Sanamu?
Hapa tuko sawa mkuu, hata mimi leo Padri aweza kunikomunisha. Lakini kunipigisha magoti ibadani mbele ya masanamu na misalaba hapanaUle ni mwili wake kweli.
Someni maandiko vizuri.
Luka 22:19-38
Halafu akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa akisema,
“Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu.
Fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”
Kwa akili ya namna hii utadai hata Musa kupiga mwamba maji yakatoka ni ibada ya Sanamu,Kwa nini siyo ibada ya sanamu? Au nyoka wa shaba siyo sanamu?
Mimi siyo msabato, hoja yangu ni kwamba mfalme alibadili ibada kutoka Jmosi kwenda Jpili. Maana ulisema nikupe jambo moja ambali hao ma kaizari walibadili ktk ibada.Kuna sehemu Mungu alisema watu wasali Jumamosi?.
Kwanza ni muhimu kujua ubatizo ni nini? Tukielewa juu ya hilo tutaelewa pia nafasi ya maji kwenye ubatizo. Kanisa Katoliki halikatazi wala halijakataza popote ubatizo wa maji mengi na yapo makanisa ya Kikatoliki yanabatiza kwa maji mengi. Ila swala la maji machache lina misingi yake ikiwepo maandiko matakatifu.
Sasa najua ukitoka kwenye maji machache utahamia ubatizo kwa watoto. Tuanzie hapo nione
Kwanza Kabisa unatakiwa ukubali kwamba huelewi kitu.Mkuu mimi nafahamu , baada ya kuja Yesu taratibu za ibada zilibadilika. Hatutazami tena nyoka wa shaba( mfano mnavyotazama ma misalaba na masanamu ya Maria kanisani) maana Yesu ndiyo nyoka wetu wa shaba aliyeinuliwa , pia hatutoi sadaka za damu tena kwa maana Yesu alimwaga damu tayari kwa ajili yetu
Yesu alibatizwa ubatizo wa Yohana mbatizaji.Hiyo misingi ya kimaandiko ni ipi mkuu tujifunze maana maandiko yanasema
Mathayo : 3 : 16 - Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
Yesu ambaye ni kiongozi wetu baada ya kubatizwa alipanda kutoka majini. Kwa nini kanisa katoliki likaanzisha msingi wa kunyunyiza tofauti na alivyofanya Bwana wetu Yesu Kristo.
Hapana mkuu, rudi unisome vizuri.Kwa akili ya namna hii utadai hata Musa kupiga mwamba maji yakatoka ni ibada ya Sanamu,
Maajabu yote aliyofanya Musa Kwa pharaoh mpaka wakaruhusiwa utadai ni ibada ya Sanamu.
Get up man.
Toka huko Kwa wajanjawajanja wanaowapiga sadaka Kwa mahubiri feki.
Sio kweli.Mimi siyo msabato, hoja yangu ni kwamba mfalme alibadili ibada kutoka Jmosi kwenda Jpili. Maana ulisema nikupe jambo moja ambali hao ma kaizari walibadili ktk ibada.
Karibu
Sielewi una maana gani kusema Ukatoliki ni kwa ajili ya Italia tu wakati unafahamu fika hata Tanzania Kanisa hilo lipo. Neno 'catholic' maana yake 'universal'. Kanisa hili lipo mabara yote na nchi zote za ulimwengu. Hakuna dini iliyosambaa ulimwenguni kuzidi Kanisa Katoliki.
Kuhusu Mapapa, wamekuwepo Mapapa wanne kutoka Afrika ya Kaskazini: Papa Victor wa Kwanza aliyekuwa Papa wa 14 Mwaka 189-199; Papa Miltiades aliyekuwa Papa wa 32 Mwaka 311-314; na Papa Gelasius aliyekuwa Papa wa 49 mwaka 492-496.
Kila jambo lina historia yake.Kanisa la Roma lina miaka 2000 toka limeanzishwa.
Hivi mtu mwenye umrinwa miaka 2000 atabishana nini na mtu aliyeanzisha karne ya 20?
Kanisa la Roma limewekeza kwenye elimu ndo maana wana shule na vyuo vikuu vya kutosha nchi nzima.
Afya
Kanisa la Roma lina hospital na dispensary nchi nzima.
Fedha
Kanisa la Roma lina Mkombozi bank. Kanisa la Roma ni taasisi imara na kongwe kabisa.
Waumini wake ni sehemu ya taasisi kwa hiyo hawana muda wa kuanza kujibizana na walokole ni kupoteza energy.
Unachanganya mambo mengi mno Kwa wakati mmoja.Hapana mkuu, rudi unisome vizuri.
John 3:14
[14]And as Moses lifted up the serpent in the wilderness, even so must the Son of man be lifted up:
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
Tunamuabudu mwana wa Adamu ambaye aliyeinuliwa kama maandiko yasemavyo hapo juu amefananishwa na nyoka wa shaba wa Musa means kwamba nyoka wa shaba pia aliabudiwa
Nyoka wa shaba=mwana wa Adamu(Yesu)
Lazima uone fahari Kwa msalaba uliotumika kukukomboa.Hapa tuko sawa mkuu, hata mimi leo Padri aweza kunikomunisha. Lakini kunipigisha magoti ibadani mbele ya masanamu na misalaba hapana
Yesu alibatizwa ubatizo wa Yohana mbatizaji.
Unataka na sisi tubatizwe ubatizo wa Yohana mbatizaji.
Nazungumzia kitu halisi na wala sina haja wala nia ya ubishi... Nazungumzia maneno yanayotamkwa kila kukicha na wakatoliki kwamba "Mtakatifu fulani UTUOMBEE" . Sina haja ya kufuatilia hoja za CATHOLIC ANSWERS waniambia nini maana ya neno UTUOMBEE kwasababu hakuna neno linaloweza kutumika mbadala ya lingine halafu halina maana ile iliyokusudiwa....Kwanza tofautisha kuombeana na kuomba kwa .... sisi hatuombi kwa watakatifu akiwemo kipenzi chetu Mama Bikira Maria bali tunaomba maombezi yao kwa Kristo.
Ipo misingi ya haya mafundisho. Kama hutaki ubishi tu kajifunze kupitia Google mfano Catholic Answers yapo majibu ya kina. Ila kama lengo ni ubishi tu sina la ziada kwenye hili.
Ufafanuzi wa nini wakati umempinga mpaka binadamu yake muhammadUfafanuzi wa haya umetoa wapi? Weka hata chanzo cha uongo.
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Endelea kukata viuno kanisani. Ikiwa biblia hamuelewi Kwa kuwekwea hadi movie ya 'Brian Deacon'. Nimekuuliza lete ufafanuzi wa hiyo ya msikitini kuwekwa masanamu. Hata hiyo reference uliyoingizwa chaka hakuna mahali masanamu yalikuwa yanajengwa msikitini. Usilazimishe tuwe sawa naUfafanuzi wa nini wakati umempinga mpaka binadamu yake muhammad
Aya ipo wazi walikuwa wanamtengenezea masanamu
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
Koran34:12. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. ...Ufafanuzi wa haya umetoa wapi? Weka hata chanzo cha uongo.
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Suleiman ni dini gani? Kwa mujibu wa allahEndelea kukata viuno kanisani. Ikiwa biblia hamuelewi Kwa kuwekwea hadi movie ya 'Brian Deacon'. Nimekuuliza lete ufafanuzi wa hiyo ya msikitini kuwekwa masanamu. Hata hiyo reference uliyoingizwa chaka hakuna mahali masanamu yalikuwa yanajengwa msikitini. Usilazimishe tuwe sawa na
nyie makafiri
View attachment 2150094
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.