Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Unachanganya mambo mengi mno Kwa wakati mmoja.
Haupo consistent.
Mfanano wa kuinuliwa nyoka wa Shaba na Kuinuliwa Kwa Yesu haupo kwenye muktadha wa Ibada.
Ibada zilikuwa zinafanyika hekaluni ambapo palikuwa na masanamu.
Huko ndipo wanyama walichinjwa na damu iliyomwagika ilikuwa ni Kwa ajili ya ondoleo la dhambi.

Damu ya Yesu kumwagika nalo ndio ondoleo la dhambi kwetu.

Point kubwa ni kwamba Mungu hakuwahi kuwaambia waziabudu Sanamu.

Huu ni uongo wa wazi unaotakiwa ukamfafanulie mchungaji wako.

Sanamu zilikuwepo,zipo na zitaendelea kuwepo maana hazijawahi kufananishwa na Mungu.
Labda unihakikishi kama Musa aliingia na wafuasi wake kuabudu hekaluni maana wasisitiza ibada na hekalu
 
Koran34:12. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. ...

Yani mnajifanya hamnazo kabisa

Jibu kwa nini Allah alituma majini yakatengeneza masanamu na kuyaweka msikitini?
Unipe hiyo reference ya masanamu kujengwa msikitini enzi za Sulaiman. Kama hauna, useme ndivyo nimefundishwa Sunday schools

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Endelea kukata viuno kanisani. Ikiwa biblia hamuelewi Kwa kuwekwea hadi movie ya 'Brian Deacon'. Nimekuuliza lete ufafanuzi wa hiyo ya msikitini kuwekwa masanamu. Hata hiyo reference uliyoingizwa chaka hakuna mahali masanamu yalikuwa yanajengwa msikitini. Usilazimishe tuwe sawa na
nyie makafiri

View attachment 2150094

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Jibu basi tufunge mada , kwa nini Allah alituma majini yamtengeneze masanamu Suleiman na wayaweke msikitini?

Kitabu chako kipo wazi kimeongea kwa uwazi kabisa bila kuficha chochote kinachokufanya wewe ukipinge ni nini?
 
Unipe hiyo reference ya masanamu kujengwa msikitini enzi za Sulaiman. Kama hauna, useme ndivyo nimefundishwa Sunday schools

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru

Tumalize mada sema hauamini Koran na neno masanamu halipo na neno synagogue maana yake sio msikitini
 
Jibu basi tufunge mada , kwa nini Allah alituma majini yamtengeneze masanamu Suleiman na wayaweke msikitini?

Kitabu chako kipo wazi kimeongea kwa uwazi kabisa bila kuficha chochote kinachokufanya wewe ukipinge ni nini?
Nipe hiyo aya kwa kubold kama hivi ikiwa unasema kweli. Unachoshindwa nini? Masanamu yakiwekwa msikitini. Mi kwenye kanisa nakupa reference hadi ya picha.
images.jpeg

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Nipe hiyo aya kwa kubold kama hivi ikiwa unasema kweli. Unachoshindwa nini? Masanamu yakiwekwa msikitini. Mi kwenye kanisa nakupa reference hadi ya picha.
View attachment 2150122

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Ni vizuri nijue uelewa wako maana umesha mpinga binadamu yake muhammad na kumuita muongo,

Ayo masanamu Allah alitengeneza akayaweka wapi?
 
Nazungumzia kitu halisi na wala sina haja wala nia ya ubishi... Nazungumzia maneno yanayotamkwa kila kukicha na wakatoliki kwamba "Mtakatifu fulani UTUOMBEE" . Sina haja ya kufuatilia hoja za CATHOLIC ANSWERS waniambia nini maana ya neno UTUOMBEE kwasababu hakuna neno linaloweza kutumika mbadala ya lingine halafu halina maana ile iliyokusudiwa....
Tunaomba wakristo wenzetu watuombee Kwa sababu Mkristo hafi.
 
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru

Tumalize mada sema hauamini Koran na neno masanamu halipo na neno synagogue maana yake sio msikitini
Nimekuambia lete reference kwa ulichosema kwa kubold masanamu yalijengwa kwenye msikiti. Mbona unabadilika we kafiri.
Hili bandiko hautaki kulijibu. Au kitabu hakieleweki
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Ni vizuri nijue uelewa wako maana umesha mpinga binadamu yake muhammad na kumuita muongo,

Ayo masanamu Allah alitengeneza akayaweka wapi?

Kwenye biblia inawezekana aliyajenga.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Binafsi huwa nashangaa sana nikihudhuria misiba, padre au askofu akiwa pale mbele akianza kuhubiri, hakuna hata tone la nguvu za Mungu, hata harufu tu ya uwepo wa Mungu haipo, mahubiri makavuuuu yasiyookoa. kusali dini inahitaji uvumilivu sana na ni kifungo kikubwa mno.
Mkuu mnajikuta wapishi wa Mungu?

Yaani wewe ni mtoto pendwa wa Mungu kiasi amekupa uwezo akisimama kiumbe kama wewe mbele yako akawa anasema neno kumuhusu Mungu unajua hapa pana Mungu hapa hamna Mungu?

Hongereni sana ila kiasi mnachojikweza ndicho hicho hicho kitakachowashusha,jitazameni upya!!!
 
Lazima uone fahari Kwa msalaba uliotumika kukukomboa.

Galatians 6:14 .
But God forbid that I should boast
except in the
cross of our Lord Jesus Christ,
by whom the world has been crucified to me, and I to the world.
Mkuu msalaba uzungumziwao hapo siyo kipande cha mti cha kuchongwa na kusimamishwa mbele na kupigiwa magoti na kuinamiwa, hii ni sawa na wanaomwinamia mfalme Zumalidi na kumpigia magoti. Msalaba uzungumziwao ni ukaao moyoni kwa kufikiria mateso ya Yesu pale msalabani. Tatizo mpo physically saana and not spiritual ndo maana akina Mwamposa wakawaiga maji ya baraka wakayaita ya upako na akina nabii Tito pombe, mavitu physical. We should cast our minds to Calvary where Jesus bled for us baasi. Mungu atizama moyo, angekua physical namna hiyo swala la kujikana mwenyewe na kuubeba msalaba bass kila mtu angejitwika kipande cha mbao begani
 
Ni vizuri nijue uelewa wako maana umesha mpinga binadamu yake muhammad na kumuita muongo,

Ayo masanamu Allah alitengeneza akayaweka wapi?
We kuelewa kwako kukoje? Hii aya ina miezi mingapi umeshindwa kufafanua?

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Ni vizuri unaanja kukiri , huyu sulaiman sehemu yake ya kuabudia lazima ilikuwa msikitini maana ni muislamu ,

Jibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu akayaweka sehemu ya kuabudia ya sulaiman
?
Unakubaliana na Paulo? Jibu ndio au hapana. Kufafanua umeshindwa

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Labda unihakikishi kama Musa aliingia na wafuasi wake kuabudu hekaluni maana wasisitiza ibada na hekalu
Nimetaja hekalu kama kiwakilishi Cha sehemu rasmi ya ibada.
Pale mtini alipotundikwa Nyoka hapakuwa sehemu rasmi ya ibada wala makuhani hawakuwa wanapatumia kuondolea watu dhambi.

Yesu ni kuhani mkuu anayefanya kwa mfano wa makuhani wa enzi za kale Kwa kuwaondolea watu dhambi.

Kusema Mungu aliruhusu ibada ya Sanamu ndio maana akatoa nyoka wa Shaba enzi za Musa ni uthibitisho wa wazi Kabisa kwamba maandiko yamewapiga chenga.
Narudia Tena.
Mungu hajawahi kuushirikisha utukufu wake na Sanamu.
Acheni mihemuko.
 
Kwenye biblia inawezekana aliyajenga.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Biblia sio kitabu Cha Allah
Allah kasema wazi kwenye kitabu chake kawatuma mapepo kutengeneza masanamu
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru

Kwa nini Allah katengeneza masanamu na kuyaweka msikitini?
 
Hahahaaaaaa ila wee jamaaa
Hahahaa. Umenikumbusha na kale kawimbo ka..aaulaaaaye mwiiiiliii waaanguu..naakuiiinywa daaamu yaanguu aseema Bwaaana huuukaaaa ndaaaaniii yangu nnaaaami hukaaaaa aa ndaaani yakeee. Waumini hapo wanafunga mikono kupokea sakramenti. Hii kitu iko sawaa lakini mambo mengine mengi yamebadilishwa na kuongezwa kama tulivyo jadili. Lakini ibada na imani bado ni uamuzi wa mtu husika
Hakuna lililobadilishwa ila wewe ma mchungaji wako ndio mmebadilisha
 
Back
Top Bottom