Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
Labda unihakikishi kama Musa aliingia na wafuasi wake kuabudu hekaluni maana wasisitiza ibada na hekaluUnachanganya mambo mengi mno Kwa wakati mmoja.
Haupo consistent.
Mfanano wa kuinuliwa nyoka wa Shaba na Kuinuliwa Kwa Yesu haupo kwenye muktadha wa Ibada.
Ibada zilikuwa zinafanyika hekaluni ambapo palikuwa na masanamu.
Huko ndipo wanyama walichinjwa na damu iliyomwagika ilikuwa ni Kwa ajili ya ondoleo la dhambi.
Damu ya Yesu kumwagika nalo ndio ondoleo la dhambi kwetu.
Point kubwa ni kwamba Mungu hakuwahi kuwaambia waziabudu Sanamu.
Huu ni uongo wa wazi unaotakiwa ukamfafanulie mchungaji wako.
Sanamu zilikuwepo,zipo na zitaendelea kuwepo maana hazijawahi kufananishwa na Mungu.