Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

Nimeshangaa fungu la kumi kupelekwa meza ya mchungaji kuombewa
Huyu ndugu hajui hata utaratibu wa Kanisa letu.
Ingekuwa mimi sio namjua Mungu vizr basi tuu lkn ametukosea sana
Nimpe taarifaa Sisi kanisa letu lina utaratibu wa Ibada ,[LITURUGIA ]INAONGOZA KILA KILA KITU ,MATUKIO YOTE INATUPA MUONGOZO WA KUFANYA NINI.

Sisi sio walokolee ambao kila mtu ni mchungaji anasema nini leo ,
 
Niligombea demu na mchungaji wa usharika mkubwa sanaa wa Lutherani DMP (Dar es salaam)

Nikaja kujua ana ukimwi na katomb(a) mademu kibao usharikani na kuthibitisha hilo nilimpima yule demu nikakuta anao kwamba kashasambaziwa miwaya na mchungaji.

Baada ya kuchunguza kumbe yule demu wangu aligongwa na mchungaji ofisini ambapo nilikuwa napeleka asilimia 10 zinaombewa.

Nikifika ofisi ya mchungaji naweka hela/asilimia 10 mezani yeye anaombea, kumbe ile meza ndio mchungaji alikuwa anamtombe(a) demu wangu palepale...!!!

Ilikuwa 2015, tokea hapo NIKAACHA KWENDA KANISANI.

Jamaa namuonaga tu mitandaoni anahubiri balaaa halafu watu wana comment, wadada na wamama wanashikwa na mahubiri na sasa kapewa usharika mkubwa zaidi na sanaaa.

Kanisani KUNA UJINGA MWINGI SANAA HUWA HAUSEMWI NA UNATETEWA.

Ni mimi
Mr. Liverpool mlutheri niliyepata ubatizo na kipaimara usharika wa hukooo DMP.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wewe ni mpumbafu sana unaacha kwenda kanisan kisa demu wako aligongwa na mchungaji

Lakini huyo demu wako si alitaka mwenyewe au alibakwa?
 
Kama unasikilizaga matangazo ya sadaka kanisani, huwa wanatangaza zile sadaka ambazo zimetolewa wiki hiyo ukitoa hiyo siku ya ibada.
Sadaka kama sadaka maalumu, zaka, fungu la kumi na jumuia.

Hizi zingine ukiwa unatoa siku ambayo sio ya ibada huombewa kwenye ofisi ya mchungaji.

Mimi ni MLUTHERI KAMILI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe ni mpumbafu sana unaacha kwenda kanisan kisa demu wako aligongwa na mchungaji
Lakini huyo demu wako si alitaka mwenyewe au alibakwa?

Ngoja nijibu hoja kwa kukupa ushauri ...
1. ""Wewe ni mpumbafu sana ........""
Usiwe unajibu hoja kwa kutumia maneno ya ""Personal attack"" HUTOFIKA MBALI
Maneno kama mjinga wewe, fala nini, mpumbavu wewe na yafanana nayo SIO SAHIHI maana hayalengi hoja ila ni PERSONAL ATTACK.

2. "".....unaacha kwenda kanisan kisa demu wako aligongwa na mchungaji.""

Siku zote tunategemea mwalimu awe sahihi kwenye kufundisha na kila kitu.
Yaani aishi mafundisho yake.
Sidhani kama ukisikia shule anayosoma mwanao walimu ni malaya na wavuta bangi UTAENDELEA KUMUACHA MWANAO ASOME HAPO.

3. "".....Lakini huyo demu wako si alitaka mwenyewe au alibakwa?""

Kama ukisoma vizuri comment yangu na ukitafakari utagundua kuwa huyu demu alidhulumiwa afya yake na mchungaji alifanya makusudi kueneza ukimwi.

HILI SIO SAHIHI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Unaacha kwenda kanisani sabb ya mtu aisee inawezekana huyo jamaa hata hayupo tena huo usharika.
Umesoma yotee??

Mchungaji sasa hivi yupo usharika mkubwa sanaaa na mpaka mitandao ya jamii anatamba.
Huku kwenye usharika wa kwanza kawaachia madada kibao UKIMWI.

Unapokwenda shule ukakuta walimu wanafundisha vizurii ila ni malaya na wavuta bangi, UTAACHA MWANAO ASOME HIYO SHULE???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Upumbavu wa mtu mmoja haukupi uhalali wa kuacha kwenda kanisani, apo ni sswa na boss wako ungegombea nae demu af uzichukie kazi zote Yani usifanye kazi yoyote. Tunaitwa kumfuata Kristo sio mchungaji!
Tunaenda kanisani kufundishwa neno la Mungu na mchungaji.
Sidhani kama utaendelea kukaa eneo ambalo ni bovu kisa tu linakupa kipato?

Ila pia sio poa wewe kama mchunga kondooo, ukawaambia kondoo fateni maneno yangu na sio matendo, SASA HII IKOJE??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Upo nje ya mada. By the way hicho ulichoandika kinakuchafua wewe na nafsi yako zaidi kuliko mchungaji na mtoto wake. Kusali ni hiyari ya mtu, ulivyoacha kusali haiathiri utukufu wa Mungu
Msambaza ukimwi ana utukufu wa Mungu??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa hiyo mchungaji kulomba ni Sio Sawa, lakini wewe muumini kulomba Ni Sawa?

Na ilikuaje fungu la 10 unapeleka ofisi ya mchungaji wakati huwa wanatoa kwenye vikapu?

Niligombea demu na mchungaji wa usharika mkubwa sanaa wa Lutherani DMP (Dar es salaam)

Nikaja kujua ana ukimwi na katomb(a) mademu kibao usharikani na kuthibitisha hilo nilimpima yule demu nikakuta anao kwamba kashasambaziwa miwaya na mchungaji.

Baada ya kuchunguza kumbe yule demu wangu aligongwa na mchungaji ofisini ambapo nilikuwa napeleka asilimia 10 zinaombewa.

Nikifika ofisi ya mchungaji naweka hela/asilimia 10 mezani yeye anaombea, kumbe ile meza ndio mchungaji alikuwa anamtombe(a) demu wangu palepale...!!!

Ilikuwa 2015, tokea hapo NIKAACHA KWENDA KANISANI.

Jamaa namuonaga tu mitandaoni anahubiri balaaa halafu watu wana comment, wadada na wamama wanashikwa na mahubiri na sasa kapewa usharika mkubwa zaidi na sanaaa.

Kanisani KUNA UJINGA MWINGI SANAA HUWA HAUSEMWI NA UNATETEWA.

Ni mimi
Mr. Liverpool mlutheri niliyepata ubatizo na kipaimara usharika wa hukooo DMP.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hili sio sehemu ya swalii uliloulizwaa .
Hata wachungaji ni watu so usichanganye tabia ya mtu binafsi na Kanisa letuu.

Nakuomba sanaa na kanisa letu lina utaratibu wa kutoa sadaka .
Na tuna bahasha maalum Mkuu
Kama umepeleka.kwa mchungaji hayo ni makubaliano yenu wenyewe..

Mwisho usitake kutuharibia madhabahu yetu ya Kiluteri maana ni safii .

Hayo na demu wako na mchungaji ni mambo yenu binafsi.

Demu wako sio mwaminifuu ,
Na mchungaji kama binadamu anatabia zake kama. Binadamu wengine .

Na ungejikita kwenye swali ukatoa majibu ,uzi huu hausiani kabisa
1. Kama unasikilizaga matangazo ya sadaka kanisani, huwa wanatangaza zile sadaka ambazo zimetolewa wiki hiyo ukitoa hiyo siku ya ibada.
Sadaka kama sadaka maalumu, zaka, fungu la kumi na jumuia.

Hizi zingine ukiwa unatoa siku ambayo sio ya ibada huombewa kwenye ofisi ya mchungaji.

2. Mimi ni MLUTHERI KAMILI.

3. Tabia zako lazima zinaendana na yale unayohubiri, unahubirije kuacha pombe na wewe ni mlevi "mbwa"?

4. Demu wako sio mwaminifu.
Aliwapa ukimwi wanawake kibao, HAWA WOTE SIO WAAMINIFU??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa hiyo mchungaji kulomba ni Sio Sawa, lakini wewe muumini kulomba Ni Sawa?

Na ilikuaje fungu la 10 unapeleka ofisi ya mchungaji wakati huwa wanatoa kwenye vikapu?

1. Kwa hiyo mchungaji kulomba ni Sio Sawa, lakini wewe muumini kulomba Ni Sawa?

UNATAKIWA KUYAISHI UNAYO HUBIRI.

2. Na ilikuaje fungu la 10 unapeleka ofisi ya mchungaji wakati huwa wanatoa kwenye vikapu?

SOMA COMMENT ZA JUU, ZINA MAJIBU.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hajakuwekea damu yake, ulimfuata. Na wewe sasa usisambaze
Kanisa limeoza ila mnalikumbatia.

Mnata reform ya CCM iliyooza ila hamtaki reform kanisani kwako.

Unaikumbuka story ya boriti na kibanzi machoni??

#YNWA.

Kanisa haliwezi kufanyiwa reforms kwa sababu ya watu watatu wa usharika au Parokia moja. Hayo makosa hayasababishwi na mfumo, ni tabia ya mtu mmoja mmoja. Stori ya kibanzi na boriti inakuhusu wewe uliyeleta stori hii zaidi kuliko kanisa
 
Niligombea demu na mchungaji wa usharika mkubwa sanaa wa Lutherani DMP (Dar es salaam)

Nikaja kujua ana ukimwi na katomb(a) mademu kibao usharikani na kuthibitisha hilo nilimpima yule demu nikakuta anao kwamba kashasambaziwa miwaya na mchungaji.

Baada ya kuchunguza kumbe yule demu wangu aligongwa na mchungaji ofisini ambapo nilikuwa napeleka asilimia 10 zinaombewa.

Nikifika ofisi ya mchungaji naweka hela/asilimia 10 mezani yeye anaombea, kumbe ile meza ndio mchungaji alikuwa anamtombe(a) demu wangu palepale...!!!

Ilikuwa 2015, tokea hapo NIKAACHA KWENDA KANISANI.

Jamaa namuonaga tu mitandaoni anahubiri balaaa halafu watu wana comment, wadada na wamama wanashikwa na mahubiri na sasa kapewa usharika mkubwa zaidi na sanaaa.

Kanisani KUNA UJINGA MWINGI SANAA HUWA HAUSEMWI NA UNATETEWA.

Ni mimi
Mr. Liverpool mlutheri niliyepata ubatizo na kipaimara usharika wa hukooo DMP.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Bora yametokea kwa mchungaji, angekuwa padre uzi ungekuwa page ya 50 huko

Gwajima mitano tena.
 
Kanisa haliwezi kufanyiwa reforms kwa sababu ya watu watatu wa usharika au Parokia moja. Hayo makosa hayasababishwi na mfumo, ni tabia ya mtu mmoja mmoja. Stori ya kibanzi na boriti inakuhusu wewe uliyeleta stori hii zaidi kuliko kanisa
Upo ili tubishane....

JUMAPILI NJEMA.

Jana Yanga Kashinda kombe la Kwanza.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom