Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

Shalom wakuu,

Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya;

1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult)
Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii imeingizwa humu?naomba historia yake
√ Sehemu ya kwanza ya Imani hii inasema hivi;Kila atakaye kuokoka zaidi ya yote imemlazimu kuishika Imani Katholiko,hii ina maana gani?

2.Naomba historia ya Imani ya Nikea,nani alianzisha na lengo lake ilikuwa nini?
3.Nani alianzisha Imani ya Mitume?

4.Nini maana ya Utumishi wa Funguo?

Naomba ukijibu swali eleza unajibu swali namba ngapi ili tuende vizuri.

Karibuni kwa majibu.
Ahsante
Shalom,
Jibu la swali la 1.
Imani katholiko ndio hii, "Tumwabudu Mungu mmoja katika Utatu, na Utatu katika Umoja." kwamba hii ndio imani ya kikristo ulimwenguni pote.
 
Tunaenda kanisani kufundishwa neno la Mungu na mchungaji.
Sidhani kama utaendelea kukaa eneo ambalo ni bovu kisa tu linakupa kipato?

Ila pia sio poa wewe kama mchunga kondooo, ukawaambia kondoo fateni maneno yangu na sio matendo, SASA HII IKOJE??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nielewe nilichosema, kosa la mchungaji mmoja lisikufanye wewe uache kwenda kanisani, kama ilivokua hukwenda kanisani kwa Mara ya kwanza kwaajl ya huyo mchungaji vivo hivyo hawez kua wa mwisho kukufanya wewe usiende kanisani.
 
Umelipambania na kulitetea kikwelikweli jina(Image) ya kanisa lako as if lenyewe kama lenyewe takatifu.
Kanisa/Dini ni organisation sio mtu. Ni jina tu. Haliokoki. Waliopo ndani yake ndo wanafanya liwe safi au najisi kwa matendo yao. Kama jina hata halina utakatifu wowote acha liongelewe vyovyote.
Huyu ndugu hajui hata utaratibu wa Kanisa letu.
Ingekuwa mimi sio namjua Mungu vizr basi tuu lkn ametukosea sana
Nimpe taarifaa Sisi kanisa letu lina utaratibu wa Ibada ,[LITURUGIA ]INAONGOZA KILA KILA KITU ,MATUKIO YOTE INATUPA MUONGOZO WA KUFANYA NINI.

Sisi sio walokolee ambao kila mtu ni mchungaji anasema nini leo ,
Nadhani hapo KKKT wewe utakuwa kuna namna unabenefit na mifumo yake. Wewe si mkristo wa kawaida. Utakuwa mwajiriwa. Maana si kwa kupambana huku kulisafisha jina la taasisi yako namna hii. Jamani tupambane kuutafuta ufalme wa Mungu na haki yake ili tuje kuiona Mbingu siku moja
 
Kusema madhambi ya sehemu ni kuokoa wengi sio kuchafua, Unajua KAWAPA UKIMWI WANGAPI??

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Hii ya kutumia nafasi za kikuhani kufanya uharibifu kwa waumini badala ya kuwajenga kiimani ni mbaya sana. Kibaya zaidi mambo ya hawa mbwa mwitu waliovaa ngozi za kondoo yakiwekwa wazi inaonekana wanapakwa matope eti wanasingiziwa. Labda nyie wenzetu hamjawahi kuyapatwa na mabaya yao.
Sawa mna haki ya kuwatetea ila msiwe kikwazo kwa kupinga wanaoexpose madudu yao hawa watumishi feki wa Mungu. Acheni walioexperience ubaya wa hawa mbwa mwitu wauweke wazi. Kwa faida ya wengi watakaochukua tahadhari.
 
Umelipambania na kulitetea kikwelikweli jina(Image) ya kanisa lako as if lenyewe kama lenyewe takatifu.
Kanisa/Dini ni organisation sio mtu. Ni jina tu. Haliokoki. Waliopo ndani yake ndo wanafanya liwe safi au najisi kwa matendo yao. Kama jina hata halina utakatifu wowote acha liongelewe vyovyote.

Nadhani hapo KKKT wewe utakuwa kuna namna unabenefit na mifumo yake. Wewe si mkristo wa kawaida. Utakuwa mwajiriwa. Maana si kwa kupambana huku kulisafisha jina la taasisi yako namna hii. Jamani tupambane kuutafuta ufalme wa Mungu na haki yake ili tuje kuiona Mbingu siku moja
Nikupe taarifa nzuri sana

Mimi ni muumini wa kawaida kabisa .

Sio mtumishi hata kidogo ,
Na kupitia dhehebu langu la KKKT
Sijawai kujuta kumjua Mungu .
Naa matendo yetu yanashabihi kabisa
Mafundisho ya Mungu ya kumuhudumia mwanadamu ,kiroho ,kimwili na kimaendeleo

Mfano sio injili tuu tunahubiri ,tunazo mahospitali kwa ajili ya kumuhudumia mwanadamu kmwili ,tunazo vituo vya watoto ,na wenye mahitaji maalumu,lkn pia tunazo Shule .

Na hilo ndilo agizo la Bwana wetu Yesu Kristo alilotuelekeza.

Amen!
 
Ngoja nijibu hoja kwa kukupa ushauri ...
1. ""Wewe ni mpumbafu sana ........""
Usiwe unajibu hoja kwa kutumia maneno ya ""Personal attack"" HUTOFIKA MBALI
Maneno kama mjinga wewe, fala nini, mpumbavu wewe na yafanana nayo SIO SAHIHI maana hayalengi hoja ila ni PERSONAL ATTACK.

2. "".....unaacha kwenda kanisan kisa demu wako aligongwa na mchungaji.""

Siku zote tunategemea mwalimu awe sahihi kwenye kufundisha na kila kitu.
Yaani aishi mafundisho yake.
Sidhani kama ukisikia shule anayosoma mwanao walimu ni malaya na wavuta bangi UTAENDELEA KUMUACHA MWANAO ASOME HAPO.

3. "".....Lakini huyo demu wako si alitaka mwenyewe au alibakwa?""

Kama ukisoma vizuri comment yangu na ukitafakari utagundua kuwa huyu demu alidhulumiwa afya yake na mchungaji alifanya makusudi kueneza ukimwi.

HILI SIO SAHIHI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ni kweli siyo sahihi lakin Anza kwenda kanisan sasa
 
Tunaishi kwenye jamii ya ajabu sana. Watu wanaona uharibifu na kuuacha uendelee kisa tu haujawafiki malango mwao. Wanausikia tu kwa wengine.
Hawa mabinti walioambukizwa wangekuwa wanatoka kwenye familia zao wangepaza sauti kukemea uovu huu.
Badala ya kuongeza nguvu sasa kukemea tabia hizi ili zisiendelee wamekaa kimya. Acha yawafike hapo baadae wakiwa wameshachelewa.
 
Niligombea demu na mchungaji wa usharika mkubwa sanaa wa Lutherani DMP (Dar es salaam)

Nikaja kujua ana ukimwi na katomb(a) mademu kibao usharikani na kuthibitisha hilo nilimpima yule demu nikakuta anao kwamba kashasambaziwa miwaya na mchungaji.

Baada ya kuchunguza kumbe yule demu wangu aligongwa na mchungaji ofisini ambapo nilikuwa napeleka asilimia 10 zinaombewa.

Nikifika ofisi ya mchungaji naweka hela/asilimia 10 mezani yeye anaombea, kumbe ile meza ndio mchungaji alikuwa anamtombe(a) demu wangu palepale...!!!

Ilikuwa 2015, tokea hapo NIKAACHA KWENDA KANISANI.

Jamaa namuonaga tu mitandaoni anahubiri balaaa halafu watu wana comment, wadada na wamama wanashikwa na mahubiri na sasa kapewa usharika mkubwa zaidi na sanaaa.

Kanisani KUNA UJINGA MWINGI SANAA HUWA HAUSEMWI NA UNATETEWA.

Ni mimi
Mr. Liverpool mlutheri niliyepata ubatizo na kipaimara usharika wa hukooo DMP.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Isije ikawa ni mchungaji fulani?
 
Shalom wakuu,

Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya;

1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult)
Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii imeingizwa humu?naomba historia yake
√ Sehemu ya kwanza ya Imani hii inasema hivi;Kila atakaye kuokoka zaidi ya yote imemlazimu kuishika Imani Katholiko,hii ina maana gani?

2.Naomba historia ya Imani ya Nikea,nani alianzisha na lengo lake ilikuwa nini?
3.Nani alianzisha Imani ya Mitume?

4.Nini maana ya Utumishi wa Funguo?

Naomba ukijibu swali eleza unajibu swali namba ngapi ili tuende vizuri.

Karibuni kwa majibu.
Ahsante
Ni upagani ndugu yangu si kingine.
 
Niligombea demu na mchungaji wa usharika mkubwa sanaa wa Lutherani DMP (Dar es salaam)

Nikaja kujua ana ukimwi na katomb(a) mademu kibao usharikani na kuthibitisha hilo nilimpima yule demu nikakuta anao kwamba kashasambaziwa miwaya na mchungaji.

Baada ya kuchunguza kumbe yule demu wangu aligongwa na mchungaji ofisini ambapo nilikuwa napeleka asilimia 10 zinaombewa.

Nikifika ofisi ya mchungaji naweka hela/asilimia 10 mezani yeye anaombea, kumbe ile meza ndio mchungaji alikuwa anamtombe(a) demu wangu palepale...!!!

Ilikuwa 2015, tokea hapo NIKAACHA KWENDA KANISANI.

Jamaa namuonaga tu mitandaoni anahubiri balaaa halafu watu wana comment, wadada na wamama wanashikwa na mahubiri na sasa kapewa usharika mkubwa zaidi na sanaaa.

Kanisani KUNA UJINGA MWINGI SANAA HUWA HAUSEMWI NA UNATETEWA.

Ni mimi
Mr. Liverpool mlutheri niliyepata ubatizo na kipaimara usharika wa hukooo DMP.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mchungaji naye binadamu asipotenda vyema nayeye pia motoni kama wengine, mtafute Mungu huyo kiumbe achana naye na uzinzi wake muombee, pia ukimwi unaweza ukaupata sehemu usio tarajia, kuna Mchungaji mmoja aliupata baada ya kumuuguza Baba yake bila kujua, niambie hapo!
 
Hapo sasa fungu la 10 likatolewa madhabahuni, tatizo waumini hupenda kujipendekeza kwa watumishi wakizani watapata maombi mazuri Sana na mengi.
Wanajitafutia shida wenyewe
 
Shalom,
Jibu la swali la 1.
Imani katholiko ndio hii, "Tumwabudu Mungu mmoja katika Utatu, na Utatu katika Umoja." kwamba hii ndio imani ya kikristo ulimwenguni pote.
Mkuu asante ila umejibu kifupi sana na hujakidhi haja,hebu rudia kusoma swali
 
Wekeni imani katika Mungu, msiweke imani zenu kwenye dini(dhehebu flani).
Kabla ya dini Watu walikua na mila na matambiko yao , hii dhana ya Mungu wa sasa imetokana na dini, sasa ukisema watu wafuate Mungu waachane na dini , sijui unamaanisha Mungu yupi?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wakristo wenye nguvu ya kuwaepuka Catholic angalau hata kwa 10% ni wasabato tu.
 
Back
Top Bottom