Hili hili ndo zuri hakuna stress unatafuta hela huku hauwazii kuhusu kukumbuka birthday wala kutuma sms za I Love youHahahahhha. Mzee baba, goma la hivi linafaa mtu uwe na Mchepuko pembeni, yaan lenyewe unalimega alafu mtoto mwingine pembeni undo unaamishia majeshi ya true love na kujaliana.
Hahahahah. Mzee una raha asee, Mimi angenibembeleza hata hivi kidogo ningelainika[emoji134]Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,
Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
Kimyaaaa.Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,
Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
Si, unalisifia goma la utete, koloni lako zuri. Mpake urimbo tu, mpe ela atanata hapo kwako milele.Asante Dada yangu, Asante kwa kuShare your views na siri zenu za Wanawake. Nimekuelewa sana.
Hhahahahhahaha, Nimtumie Hela tena!??![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Yaan mkuu hawa watu hawa. Wakigeuziwa kibao, Wanaanza kulia. Wakati wenyewe ndo wanatufanya tuwe na moyo mgumu wa kutojali.
Block kabisaNimeacha kuanzia muda huu.
Yaan huwezi amini nilimwandikia meseji ya kumtaka "Asubuhi njema" ila hajajibu hadi muda huu. Kimya
Yaani, hapo utafikiri umeona anavyonifanyia.
Ningeweza kutuma na Screenshot, but we never know, labda yupo humu.
Ndio mzee, Nina hako hako kagoma kamoja. Ndo kameliamsha dude.
Sasa inabidi nianze kupepesa macho, kusaka Lingine.
Na huyu akyanani atawaponza wenzie, Nitatafuta wawili kwa mpigo.
Hahaa,pole mzee mwenzangu.Hahahahah. Mzee una raha asee, Mimi angenibembeleza hata hivi kidogo ningelainika[emoji134]
Usikute ningemwambia "Sorry Simu sikuwa nayo, kuna mtu niliisahau bahati mbaya, ndo maana umeona sijakujibu"
Maaaae, kumbe haya majibu yangu ndo maana huyu Goma ananiona poyoyo[emoji134] [emoji24]
Hahaha, Sasa wa kukufariji atakuwa nani?Hili hili ndo zuri hakuna stress unatafuta hela huku hauwazii kuhusu kukumbuka birthday wala kutuma sms za I Love you
Ahsante saana kwa ushauri.Kimyaaaa.
Don't respond. And it will kill her inside.