Wauza magari wa bongo, wengi hawapaswi kuwa car dealers hawayajui magari kabisa

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
935
Reaction score
2,553
Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣.

Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini kinanda ya kuwasha na kuondoka.

Wauza magari nendeni hata short course jamani ni aibu. Msiuze ili mpate hela ukikutana na mteja anaejua anataka nini ndio mnaaza kusema mteja mjuaji kumbe mmekwama kumuuzia takataka.

Anyway kama kuna dealer humu lazima ujue napokuuliza injini gani siulizi kwa sababu ya kuuliza tu. Hapana kuna engine zinajulikana pasua kichwa toka kiwandani.

Mnaweza wote mkawa na Subaru forester ila zikawa na injini tofauti kabisa.
 
Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣. Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini kinanda ya kuwasha na kuondoka.
Wauza magari nendeni hata short course jamani ni aibu. Msiuze ili mpate hela ukikutana na mteja anaejua anataka nini ndio mnaaza kusema mteja mjuaji kumbe mmekwama kumuuzia takataka.
Anyway kama kuna dealer humu lazima ujue napokuuliza injini gani siulizi kwa sababu ya kuuliza tu. Hapana kuna engine zinajulikana pasua kichwa toka kiwandani. Mnaweza wote mkawa na Subaru forester ila zikawa na injini tofauti kabisa.
Huwa nikipata nafasi ya kumshauri mtu namwambia wazi kabisa usinunue gari Bongo, agiza. Sisi bwana sio magari tu ni wababaishaji kwenye sekta nyingi sana
 
Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣. Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini kinanda ya kuwasha na kuondoka.
Wauza magari nendeni hata short course jamani ni aibu. Msiuze ili mpate hela ukikutana na mteja anaejua anataka nini ndio mnaaza kusema mteja mjuaji kumbe mmekwama kumuuzia takataka.
Anyway kama kuna dealer humu lazima ujue napokuuliza injini gani siulizi kwa sababu ya kuuliza tu. Hapana kuna engine zinajulikana pasua kichwa toka kiwandani. Mnaweza wote mkawa na Subaru forester ila zikawa na injini tofauti kabisa.
😂😂😂😂😂😂
 
Sahihi Mkuu wengi wao hakuna wajualo,, zaidi tu ya kuongea sana "kuwasha na kuondoka,inafika popote,Haina kipengele,chombo imefugwa "🤣🤣
 
Wauza magari na viwanja/nyumba wa hapa Tanzania wengi hawana utaalam husika kwenye eneo hilo na ndio maana hata matangazo yao unaona kabisa yanakosa ile substance ya kumshawishi mtu afanye maamuzi sahihi.

Ndio maana serikali inataka kuanza kudhibiti madalali wa nyumba na viwanja. Hii inabidi baadae iwe kwenye maeneo yote. Requirement iwekwe kuwa kama wewe ni dalali wa nyumba na viwanja lazima uwe na qualifications husika hata kama sio degree ila unajua basics za unachokifanya lakini pia unaweza kuwa accountable.

Unakuta dalali anauza kiwanja, hajui mmiliki halali ni nani, hajui kuverify uhalali wa kiwanja na umiliki, hajui upimaji, na ndio wale anasema ukubwa wa kiwanja ni miguu 40 kwa 40. Ni shida saa kununua gari kwa madalali wa kibongo, chances ni kuwa unaenda kununua kitu kibovu kilichomshinda mwenyewe na dalali hajui au anaignore makusudi kwa manufaa yake. TUTAWAFUATILIA​
 
Madalali wengi wa magari tokana na kutofahamu hata generations za gari , huwa wanajitungia majina..

Majina kama 'tako la nyani'
Rav 4 Miss Tanzania..
Prado Mchaga..
Rav 4 Kili Time..
Land Cruiser Mkonge..
Harrier Anaconda.. n.k

Kiufupi wanatunga hayo majina lakini kiuhalisia hizo gari zina vizazi na majina ya models.. hizo gari zina engine codes pia kama crown kuna 4GR FSE, 2GR FSE n.k harrier zina 3ZR FAE , 2AR FXE, waelewe pia uwezo wa engines tofauti, mapungufu yake na sifa zake, ukiachilia hapo wanapaswa wafahamu hata tech za engine zinavyofanya kazi mfano CVT... lakini wengi ni weupe...
 
Madalali wengi insta utasikia wanasema chuma ina eisii kama uko makambako, mguu wa kwenda, Engine haijaguswa, bodi halijachanganyikiwa, leather seats original from Japan, mafuta kisoda, gari halimjui fundi, safari popote, mmiliki wake ni mwanamke/mhindi/mwarabu wa posta anaenda kununua udi na ubani kisutu alafu anarudi posta.
Mwingine anakwambia gari ina kilometa elfu 58 lakini ukichukuwa chassis number ukiingia kwenye vyanzo halisi unakuta gari ina kilometa laki mbili na elfu 80😆😆.
 
Back
Top Bottom