Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

mmh bei yako iko chin man shamban tuuh ndo hiyo bei unauzwa ten grade one ni 2200
 
na hiyo ya kati ni 2050 mpka 2100 sas ikipig mhesabu ulete mpk boma duuh
 
Hapo kwenye kuuza kwanza ndio ulipe huwa nu mbaya sana kwa mustakabari wa anaekupa huo mzigo, mimi huwa naona ni afadhali mtu alipe nusu kisha hiyo nyingine ailete akiuza.
 
Ni mfumo wa biashara wa dunia
Nina zaidi ya miaka 3 sasa kwenye kazi
 
Hapo kwenye kuuza kwanza ndio ulipe huwa nu mbaya sana kwa mustakabari wa anaekupa huo mzigo, mimi huwa naona ni afadhali mtu alipe nusu kisha hiyo nyingine ailete akiuza.
Hata nusu ni mbaya kikubwa cash cash kila mtu akafie mbali
 
Habari wakuu kwa anae hitaji tufanye kazi nimekuja tena shamba mchele huku bado upo chini 1700,1750,1800,1900- super kwa 2000 karibuni
 
Ni maeneo gani hayo kiongozi...? Ndio wanavuna huko sahizi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…