Yung_sammy
Member
- Sep 11, 2015
- 78
- 89
Kwa mimi
Inategemea na aina ya mchele ila sana huwa nachukua grade ya kati ambao nanua kwa 2000 hadi 2100 kilo
Silipi cash nauza nalipa hela
Grade zote zinatembea ila kwa upande wangu nauza sana grade 2
Ndio ukiwa mzuri tani 10 week 3 mpaka mwezi
Kuanzia mwezi wa 10 Moshi wanategemea kuvuna hivyo hupunguza kununua mchele ukiwa bei sawa
mmh bei yako iko chin man shamban tuuh ndo hiyo bei unauzwa ten grade one ni 2200