Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.

Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
 
Kila sehemu kuna mapishi yake, kama unaona hujaridhishwa na upishi wa hapo unahamia kwenye mgahawa mwingine.
Pia unaweza ukaamua uwe unajipikia mwenyewe nyumbani kwa standards unazozitaka wewe.
 
kuepukana na hayo yote uwe unapika kwako
 
Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.

Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
Kuna hiyo Chai ya Asali, Limao na Tangawizi...
Utaiweza kweli?🤣
 
Kila sehemu kuna mapishi yake, kama unaona hujaridhishwa na upishi wa hapo unahamia kwenye mgahawa mwingine.
Pia unaweza ukaamua uwe unajipikia mwenyewe nyumbani kwa standards unazozitaka wewe.
Ni hivi, kama huuzi au huna chai sema huna chai bali una maji ya moto ya viungo(spices) tu, usinipe usumbufu kunifanya nikupe maelezo ya ziada.

Wewe ukifika mahali ukaagiza chips ukaletewa mihogo ya kukaanga utakubali kisa ni mapishi yao tu??
 
Ni hivi kama huuzi au huna chai sema huna chai bali una maji ya moto ya viungo(spices) tu, usianze kunifanya nikupe maelezo ya ziada.

Chai ina faida gani mwilini?
 
Ni hivi kama huuzi au huna chai sema huna chai bali una maji ya moto ya viungo(spices) tu, usianze kunifanya nikupe maelezo ya ziada.

Wewe ukifika mahali ukaagiza chips ukaletewa mihogo ya kukaanga utakubali kisa ni mapishi yao tu??
Eti maji ya moto ya viungo hahaha.
Kwani ni nini maana ya neno chai kwanza?
Unaijua kuna chai inayotengenezwa kwa maziwa na inaitwa chai ya maziwa?
Sasa ukiachana na hii chai ya maziwa na kuna hiyo nyingine inaitwa chai ya Tangawizi
 
Itakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.
Wewe una akili za kimama, hivyo vyote ulivyovitaja ni hiyari ya mtu.

Wanatumia sukari inawasaidia kupunguza gesi kwenye Maharagwe, na wanapaka ndimu na chumvi kwenye mahindi ni kuongeza ladha.

Labda huko kwenu mnakunywa supu bila limao na pilipili.
 
Back
Top Bottom