Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

Oh! Kumbe tufanyeje? Hayo machai yenu eti ni ya kisasa cjui? iko siku mtakunywa majani ya Devil's Apple (Datura stromonium)eti ni herbal tea.
Kuna Tangawizi, mchaichai... mchaichai nachuma nyumbani, Tangawizi mbichi nanunua sokoni. Ni chai nzuri sana kuliko hayo majani ya chai.
 
Kuna Tangawizi, mchaichai... mchaichai nachuma nyumbani, Tangawizi mbichi nanunua sokoni. Ni chai nzuri sana kuliko hayo majani ya chai.
Waw! Sasa ni kwa nini umekopa neno chai? Si ungelitumia jina lingine e.g. mchemsho wa tangawizi na majani ya mchaichai (lemon grass)? Unapotamka neno chai, Tayari mawazo yanahamia kwenye Decoction of Tea leaves halafu hivyo vingine ulivyo taja vinakuwa ni viungo/Additives.
Otherwise nakubaliana kabisa nawe kwamba utumiaji wa mchemsho wa Tangawizi, mchaichai, iliki na mdalasini ni bora zaidi kiafya.
 
Sio kweli. Hizo "Chai" za huko mjini; huku vijijini ambako ndiko kwenye watu wengi ; chai ni ile ya majani ya chai Og. Wanaweza kuweka vikorombwezo e.g. Iliki, pilipili manga, tangawizi, mdalasini lakini kimsingi lazima yawekwe majani ya chai(Tea leaves). Hata hii chai ya majani ya chai ina manufaa ya kiafya.
Hata hii nayo ni chai.
 
Itakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.
Nimewahi kwenda pale Morogoro, soko la chief kingaru nikaona mahindi ya kuchoma nikanunua moja
Wee saa ngapi nisikute muhindi wa kuchomwa umewekewa tomato sauce na pilipili 😂😂😂
Aisee niliutupa
 
Waw! Sasa ni kwa nini umekopa neno chai? Si ungelitumia jina lingine e.g. mchemsho wa tangawizi na majani ya mchaichai (lemon grass)? Unapotamka neno chai, Tayari mawazo yanahamia kwenye Decoction of Tea leaves halafu hivyo vingine ulivyo taja vinakuwa ni viungo/Additives.
Otherwise nakubaliana kabisa nawe kwamba utumiaji wa mchemsho wa Tangawizi, mchaichai, iliki na mdalasini ni bora zaidi kiafya.
Vyovyote vile Tunaweza kutamka ila huu mchanganyiko niliosema ni bora sana kuliko majani ya chai ya pakiti
 
Mahara
Itakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.
Maharage kuwekwa sukari ni kuyafanya yawe alkaline, yasaidie kupunguza kupumua Kila mara (farting) baada ya kula. Japo sio poa kiafya
 
Tlaatlaah asubuhi huwa anapasha moto mkojo wake alioukojoa usiku kucha na kuuikinga kwenye chupa za maji,akishaupasha moto anaweka sukari na kuunywa
 
Back
Top Bottom