Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

Itakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.
Kila jamiii ina taratibu zake na tamaduni zao,
Hata wa Dar wakija mikoani wakakuta mahindi ya kuchoma hamuweki viungo,nao watawaona nyie mnakosea,wakiona maharage hamuweki sukari watawashangaa pia,

Mtu kupika chakula kwa njia ambayo ni tofauti na jamii yako,hakumfanyi kua mpuuzi coz hicho chakula anakula yeye na wala wewe hajakulazimisha kula,

Jaribu kuheshimu tamaduni za watu unapokwenda ugenini.
 
Eti maji ya moto ya viungo hahaha.
Kwani ni nini maana ya neno chai kwanza?
Unaijua kuna chai inayotengenezwa kwa maziwa na inaitwa chai ya maziwa?
Sasa ukiachana na hii chai ya maziwa na kuna hiyo nyingine inaitwa chai ya Tangawizi
Chai inakua chai pale tu itakapopikwa kwa kutumia majani ya Chai,ndio maana yakaitwa majani ya chai,ila tangawizi haiwezi kuitwa tangawizi ya chai,ukichemsha maji ukaweka tangawizi tu,hiyo sio chai bali ni tangawizi,au maji ya moto yenye tangawizi.
 
Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.

Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
ok.🐒
 
Watu wana mavi vichwani.. mtoa mada kazungumzia mijitu inataja viungo kama wanuza viungo si waseme!
Hakika mkuu, sijui kwa nini watu wanalazimisha mtu unywe tangawizi, hiliki, mdalasini au lemon grass wakati ninachotaka ni chai tu ( majani ya chai yaliyochemshwa au angalau maji ya moto pure na tea bag tu niunge mwenyewe mezanj)!
 
Yoda Bwana 😀...siku zooote unaipiga hiyo chai iliyounguzwa sukari mpaka umri huo ila leo hii umekumbuka majani aka TATEPA. 😂
 
Hujui unacho kiongea,unapayuka tu ili mradi na wewe uonekane kua umo humu JF usisahaulike,
Nyie wamarekani weusi wa Nzega hua mna chuki sana na Iran.

😂😂😂

Watu wana mavi vichwani.. mtoa mada kazungumzia mijitu inataja viungo kama wanuza viungo si waseme!

Ni mtindo mpya wa kishamba ambao wauza vyakula wengi wameambukizana.

Chai inakua chai pale tu itakapopikwa kwa kutumia majani ya Chai,ndio maana yakaitwa majani ya chai,ila tangawizi haiwezi kuitwa tangawizi ya chai,ukichemsha maji ukaweka tangawizi tu,hiyo sio chai bali ni tangawizi,au maji ya moto yenye tangawizi.

Hakika mkuu, sijui kwa nini watu wanalazimisha mtu unywe tangawizi, hiliki, mdalasini au lemon grass wakati ninachotaka ni chai tu ( majani ya chai yaliyochemshwa au angalau maji ya moto pure na tea bag tu niunge mwenyewe mezanj)!
Herbal tea inaweza kutengenezwa kwa mimea mingine kabisa, kama tangawizi, mdalasini, hibiscus, chamomile au mchaichai, bila kuwa na majani ya Camellia sinensis.
 
Kila jamiii ina taratibu zake na tamaduni zao,
Hata wa Dar wakija mikoani wakakuta mahindi ya kuchoma hamuweki viungo,nao watawaona nyie mnakosea,wakiona maharage hamuweki sukari watawashangaa pia,

Mtu kupika chakula kwa njia ambayo ni tofauti na jamii yako,hakumfanyi kua mpuuzi coz hicho chakula anakula yeye na wala wewe hajakulazimisha kula,

Jaribu kuheshimu tamaduni za watu unapokwenda ugenini.
Chips zege Wasouth Africa walikuwa hawajui wamefundishwa na Wabongo.

Moshi Arusha ukiagiza ndizi rost unaletewa ndizi za kukakaanga, neno ndizi za kukaanga huo siyo msamiati wao.
 
Herbal tea inaweza kutengenezwa kwa mimea mingine kabisa, kama tangawizi, mdalasini, hibiscus, chamomile au mchaichai, bila kuwa na majani ya Camellia sinensis.
Sasa si aulize chai gani nimuambie kama ni Black tea, green tea au chai ya mitishamba. Ila Mimi najua siku zote ukisema unataka chai ya rangi kwa Waswahili imekuwa ikifahaamika ni black tea kabla huu ujinga haujaanza.

Ukisema ugali mjini siku zote utaletewa wa unga mahindi hasa sembe. Kama wana ugali mwingine ndio utaulizwa wa dona, muhogo, Mtama au ulezi.
 
Back
Top Bottom