Me tooHuwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.
Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
Kila sehemu kuna mapishi yake, kama unaona hujaridhishwa na upishi wa hapo unahamia kwenye mgahawa mwingine.Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.
Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
"Me too"Me too
kuepukana na hayo yote uwe unapika kwakoHuwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.
Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
Kuna hiyo Chai ya Asali, Limao na Tangawizi...Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.
Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
Ni hivi, kama huuzi au huna chai sema huna chai bali una maji ya moto ya viungo(spices) tu, usinipe usumbufu kunifanya nikupe maelezo ya ziada.Kila sehemu kuna mapishi yake, kama unaona hujaridhishwa na upishi wa hapo unahamia kwenye mgahawa mwingine.
Pia unaweza ukaamua uwe unajipikia mwenyewe nyumbani kwa standards unazozitaka wewe.
Chai ina faida gani mwilini?Ni hivi kama huuzi au huna chai sema huna chai bali una maji ya moto ya viungo(spices) tu, usianze kunifanya nikupe maelezo ya ziada.
Wewe ukifika mahali ukaagiza chips ukaletewa mihogo ya kukaanga utakubali kisa ni mapishi yao tu??
Eti maji ya moto ya viungo hahaha.Ni hivi kama huuzi au huna chai sema huna chai bali una maji ya moto ya viungo(spices) tu, usianze kunifanya nikupe maelezo ya ziada.
Wewe ukifika mahali ukaagiza chips ukaletewa mihogo ya kukaanga utakubali kisa ni mapishi yao tu??
Wewe una akili za kimama, hivyo vyote ulivyovitaja ni hiyari ya mtu.Itakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.
Una hoja uzingatiwe!Chai.... sio lazima!
The LORD is my shepherd!