Kuna Tangawizi, mchaichai... mchaichai nachuma nyumbani, Tangawizi mbichi nanunua sokoni. Ni chai nzuri sana kuliko hayo majani ya chai.Oh! Kumbe tufanyeje? Hayo machai yenu eti ni ya kisasa cjui? iko siku mtakunywa majani ya Devil's Apple (Datura stromonium)eti ni herbal tea.
Waw! Sasa ni kwa nini umekopa neno chai? Si ungelitumia jina lingine e.g. mchemsho wa tangawizi na majani ya mchaichai (lemon grass)? Unapotamka neno chai, Tayari mawazo yanahamia kwenye Decoction of Tea leaves halafu hivyo vingine ulivyo taja vinakuwa ni viungo/Additives.Kuna Tangawizi, mchaichai... mchaichai nachuma nyumbani, Tangawizi mbichi nanunua sokoni. Ni chai nzuri sana kuliko hayo majani ya chai.
Wanaopenda chai hongera zao...
Hata hii nayo ni chai.Sio kweli. Hizo "Chai" za huko mjini; huku vijijini ambako ndiko kwenye watu wengi ; chai ni ile ya majani ya chai Og. Wanaweza kuweka vikorombwezo e.g. Iliki, pilipili manga, tangawizi, mdalasini lakini kimsingi lazima yawekwe majani ya chai(Tea leaves). Hata hii chai ya majani ya chai ina manufaa ya kiafya.
Kweli.Hata hii nayo ni chai.
Hii mbona nzuri sana.. tangu niijaribu nilipendezwa nayoKuna hiyo Chai ya Asali, Limao na Tangawizi...
Utaiweza kweli?π€£
Hii sasa inasafisha mpaka mishipa ya damu.Hii mbona nzuri sana.. tangu niijaribu nilipendezwa nayo
Nimewahi kwenda pale Morogoro, soko la chief kingaru nikaona mahindi ya kuchoma nikanunua mojaItakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.
Vyovyote vile Tunaweza kutamka ila huu mchanganyiko niliosema ni bora sana kuliko majani ya chai ya pakitiWaw! Sasa ni kwa nini umekopa neno chai? Si ungelitumia jina lingine e.g. mchemsho wa tangawizi na majani ya mchaichai (lemon grass)? Unapotamka neno chai, Tayari mawazo yanahamia kwenye Decoction of Tea leaves halafu hivyo vingine ulivyo taja vinakuwa ni viungo/Additives.
Otherwise nakubaliana kabisa nawe kwamba utumiaji wa mchemsho wa Tangawizi, mchaichai, iliki na mdalasini ni bora zaidi kiafya.
Maharage kuwekwa sukari ni kuyafanya yawe alkaline, yasaidie kupunguza kupumua Kila mara (farting) baada ya kula. Japo sio poa kiafyaItakuwa ni Dar hiyo kwasababu ndo kuna upuuzi mwingi kwenye vyakula. Dar mahindi ya kuchoma yanawekewa viungo. Maharage yanawekewa sukari. Yaani upumbavu mtupu.