Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

na oriflame ina tofauti gani?
 
huu ujanja wa wizi umeenea pote duniani - wakatie tu kuwa huna nia na pia kumbuka hapa duniani hakuna cha bure, siku unahitaji hizi bidhaa au huduma ndio itafute
 
Yameingia kiroho[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
"If doent fool you, it doesnt teach you"-David Olainyi Oyedepo
kuna misconception nyingi kuhusu makanisa ya kiroho, fanya utafiti kidogo, jifanye mjinga nenda kanisani kama mtafiti ili uujue ukweli
natamani kila mtu aijue hii kweli
 
Yanlaaaaah
 

Wanafanya hivyo kwa sababu wanajinua hawakubariki
 
M naona ni nzur kwn mbali na mbinu hyo ni vigumu kuwateka wateja kw wingi na bila mbinu hyo somebody tusingeenda je tungejua faida ya matibabu yao kwetu,leo tumejua tunafaidika na product zao afya zetu zimekuwa njema miili yetu inang'aa,akiri zetu zinafanyaz kw ufanisi,msongo wa mawazo unapungua kwsbabu ya forever tuwashukuru sana japo tulipoteza mda kwa mda mchache
 
Mimi mwenyewe hawa watu wa forever walinikera. Kuna mdada kapewa namba yangu na rafiki yangu, akaanza kunishawishi nijiunge. Nikamuleza kuwa nina shughuli zangu sitaweza. Bado aliendelea kunifuatilia nikaona imekuwa kero, namba yake nikaiblock. Mwingine tena hata simjui naye alinijia na gia ya mazungumzo. Nilipomuuliza ni mazungumzo ya nini hataki kueleza anasisitiza niende. Nikamkatalia.
 
Hao wadada sijui washikaji wanakera Sana Yan wanalazimisha upende kitu Fulani.
 
Hahahaha ulilazimishwa kwani
 
Kweli jamanii, mm kuna mama kaniganda mpaka natamani nibadili laini ya simu kila cku njoo kwa semina mara mavideos kibao Whatsup jamanii,... Aaaghhg kweli wanaboa bhana
 
Haa haaa hii mbinu iliwahi kuninasa miaka 3 iliyopita,niliambiwa kuna semina nilipodadisi zaidi nikaambiwa ni masuala ya biashara kufika ni mipasho ya managers jinsi walivyofanikiwa kimaisha na blah blah kibao.

Baada ya muda nikagundua waliofanikiwa ni waanzilishi ndio wanapiga mifedha kupitia wanachama wapya.Bahati nzuri sikuingia nilinunua bidhaa chache kwaajili ya majaribio lakini sikuona kitu cha tofauti zaidi kuvuta wanachama kwa nguvu na ushawishi mkubwa.

Hii biashara si mshauri mtu mwenye akili zake ajiingize hata kidogo.Kwanza itakuwafanya uonekane mwehu kiasi fulani,pili itakuchukulia muda wako,fedha zako na nk.
 
Kweli jamanii, mm kuna mama kaniganda mpaka natamani nibadili laini ya simu kila cku njoo kwa semina mara mavideos kibao Whatsup jamanii,... Aaaghhg kweli wanaboa bhana
Mblock tu
 
Ha ha ha kwakweli lazma ujitoe ufahamu ndo ufanye hii biashara
 
Kudandanga watu ndio mbinu nzuri? Lazma utakua unauza forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…