Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...duh..hawa viumbe bado wapo?..staki hata kuwaskia aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]....lol mkuu umenichekasha sana.Nakumbuka nikiwa chuo kuna dada alinikokota mpaka makumbusho na hakunambia ni semina ya kitu gani.
Bahati nzur tulifika kwa kuchelewa, nlikuwa na njaa sana nkala chips kavu nikatembea kwa mguu mpaka mwenge.
Siku nyingine yule dada kanijia na mavidonge nkamwambia ayanywe mwenyewe ila sio mimi.
Mkuu samahani,eti "Punguani wahed"ni nini?Kama si ujinga huo ni nini?
Ungeweka ya mama'ko tulinganishe ingekuwa vyema sana.
Punguani wahed.
Mkuu samahani,eti "Punguani wahed"ni nini?
Mtaishia kutaja gari za wenzenuOkay nimekupata.
_____________
Hii ni Gari aina ya Jeep Grand Cherokee ya Kimarekani yenye thamani ya zaidi ya milioni 90 za Kitanznaia mpya kabisa yaani 0 km iliyonunuliwa na dada Huyu Blandina Njau kama wiki sita zilizopita naye anafanya biashara hii ya Forever Living.
daaah hata mimi walinidanganya nikavaa vizuri nakumbuka na tai nikaazima vyeti nikabebelea kwenda huko nakuta stori za gnld mdada alienipa mchongo nilimtukanaSikuhizi hata adv zao hawasemi kama meeting za forever,utaona tu sijui women empowerment blah blah blah kibaoo,afu wanamalizia kiingilio 10k au mara book your seat kwa email,seats are limited
Basi unajikoki unavaa official na CV + Certificates unabeba,unajua yess huko moto tu unaweza kupata kazi
Ukifika sasaaa unakuta walewaleeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
acha kudanganya watu! si kwa ajili ya hiyo biashara iliyo mtoa...kama unamfahamu, wewe wajua na mimi najua! tusiwadanganye watu wakaingia mkenge! barikiwa my friendOkay nimekupata.
_____________
Hii ni Gari aina ya Jeep Grand Cherokee ya Kimarekani yenye thamani ya zaidi ya milioni 90 za Kitanznaia mpya kabisa yaani 0 km iliyonunuliwa na dada Huyu Blandina Njau kama wiki sita zilizopita naye anafanya biashara hii ya Forever Living.
[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3]Walinitoa mbagala mpaka Millenium tower sina hata hamu nao wale jamaa.Hivi kwa mtazamo wa kawaida unaweza kuuza product ya laki 3 kwa mkaazi wa mbagala,
Huyo mama anaeuza anauza dawa za forever za kutibu vidonda vya tumbo, ila ye mweyewe vinamsumbua..... Hata mie sijui zinatibu au vipi sijawahi kutumiaKwan hizo bizaa huw zinasaidia kweli au manake naona gharama kubwa pia
Unauza forever??? Kunufaika kutokunufaika hiyo haihusu ISHU NI KUDANGANYWA kwanini isiwe wazi tu "njooni muangalie bidhaa za forever"Umejitetea weeee ooh simu nyingi mara ooh niliheshimu aliyenialika!sasa ungenufaika ungepondea au sababu umeita usumbufu??binafsi siwapendi hata kuwasikia!mtu akianza tu mie mtu wa forever namkatisha hapo hapo sina simile