Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #161
Pole sana na hongera kwa kuwa mkweliHakuna biashara ngumu kama hiyo, kwanza unatakiwa kuwa muongo yaani kusema mafanikio makubwa uliyonayo au aliyonayo mwingine ili umvutie kujiunga. Marafiki zangu wote walinikwepa, kila nikikutana nao wanajua nawapa stori za forever. Nikaona huu upuuzi tu, nikaamua kuachana nayo na sitaki hata kuisikia.