Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Mimi nashukuru forever imeniingiza kwenye kumbi kubwa na hotel kubwa kama Nyerere conference centre, Diamond jubilee na Kempisk, hayo ni mafanikio kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BIG UP
 
Hii mbinu ya kuwaita watu na kuwapa vinywaji na chakula watawapata wengi kumbe..
mimi siku zote nikiona kitu sikielewi elewi huweni kunishawishi

eti semina halafu hujui semina inahusu nini....na unaenda?


Hizi mbinu wanazopewa hizi kama mkeo yuko huko na akili za kushikiwa 'watamlamba hadi basi'
manake wauzaji wote wa bidhaa za mtandao wako so desperate kushindana kuleta member wapya
na kuuza bidhaa....
Mie mungu ansamehe tu lakini nshawalamba sana mademu wa forever living,unakuta unachat naye unaona kabisa yuko desperate kuuza hizo vitu zake bas unamwambia aje navyo geto nichague.akiingia ameisha.
 
Ivi ile mifano ya presentation zao ni kweli? Yaan ukikutana na mwongeaji na akikutolea mifano km unapesa siku ileile unajiunga...
Nakumbuka mwaka 2014 lecture wangu wa chuo alitualika baadhi ya wanafunz km wa5 kwenye semina pale makumbusho kumbe na yy kaingzwa kwenye hii biashara ss kufika pale ndio kukuta mdada mkali hatariiiiii anaprezent hiyo na kutoa mifano kedekede ya waliofanikiwa safar zao za njee kwenye mashamba ya hzo dawa yaan kila sehemu kafka yule dada na magar yao ya dhaman enz hizo ilikuwakuingia ni lak7 nikafikiriaa kidogo nipeleke ada akil za kuambiwa nikachanganya na zakwangu nikasema hapana nw it's not a right time mpaka nimalize chuo ili niwauzie makazn huko maana wanafunz hawez kununu lipstik moja elf40
Kuna dogo mmoja akajiunga na yule aliye muunga akamwahid km unakonection za watu weng miez 6tu utakuja chuo na Harriya au Morano na tht tm Diamond alikuwa amemnunulia Wema Morano hahahahahaha dogo aliacha mpaka chuo kwajil ya kusaka wateja mtaan na masemina yao ila nw kaona ni utumwa karudia chuo sehemu nyngne
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mie nilishawahi mtolea mtu wa forever maneno makali sana hajarudi mpaka leo
 
Me mpenzi wangu alijiunga bila kunambia jion anarudi na hizo story ananishawish ninunue pafyum laki na nusu sijui na vinininini? Nikamwambia unahitaji mtaji ufanye biashara ya maana niambie ila sio huu upumbavu na kujivua akili
[emoji23][emoji23]wanaliwa sana
 
Kuna mdada mmoja ni rafiki angu alijiunga haya mambo ya forever aliporud nyumbani alinishawishi sana nijiunge akanisimulia mkutano ulipofanyikia ni hotel ya garama sana hapo town mwanza,nikamuuliza swali umejiunga kwa kiasi gani akajibu laki tatu nikachoka kabisa sababu mm sikuona faida kabisa faida ya kujiunga maana kila nikimuuliza mnapata faida gani hasa nyie member yeye anazingua ananisimulia maendeleo ya mabosi wao eti wana magar na majumba nilimwambia hiv ukipata mafanikio njoo uniambie nitajiunga hajaniambia mpk leo na story za forever hazipo tena sasa ni miaka,kwa ufupi siwapend forever
 
Kwan hizo bizaa huw zinasaidia kweli au manake naona gharama kubwa pia
Na mimi huwa najiuliza hivyo maana kwa kwetu huku sisi mtu umuuzie lipstik ya elfu 40 na make elfu 70 mafuta ya nywele kwa elfu 30 nani utamuuzia watu wanapata softtouch ya bei chee na lipstik ya 1500 tuu uswazi ujinga wa forever hawataki kuusikia kbs sijui wanamuuzia nani aisee
 
Nilishaingizwa kingi zaidi ya mara 4 lakini wapi...Mara ya kwanza Makumbusho 2007, mara ya mwisho Mlimani city 2015. Kote huko hawajaweza kunishawishi ili kujiunga!! Naonaga ni aina fulani ya kukosa ubunifu wa kufanya kazi za maana.
 
Afu kutakua na kasiri iyo nyuma ya forever hawataki kusema ukweli tuu
 
Back
Top Bottom