Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Forever Living, Trevo, One Coin, Oriflame, ReforoAfrica endelea kuorodhesha tuzidi kujifunza, ila classmate wangu ametoka na Trevo na kweli aliacha kazi NMB pale Branch ya nmb house ila wao walikuwa waanzilishi wa kampuni hiyo, kweli anakula shavu kusafiri na mbwembwe za aina hiyo.
 
Crowd dressing
 
Mchew
 
Kuna mmoja mke wa mtu kila siku ananijidai kuni encourage nijiunge tuu naona soon ntamtafunaaa
 
Wanagaramia hadi misosi ili tu uone bidhaa jinga sana, mie nlipewa ka fanta na vibagia nlivokua na hasira nkakanywa fasta tu gudugudugudu nkaweka chupa pembeni nikaendelea kununa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaa
 
Wamenikosakosa majuzi hapa quality center, niliitwa tu na rafiki yangu hata sikujua kuna nini, licha ya maelezo ya masaa karibu 3 sijashawishika hata kidogo nikatoka nduki
 
1507bc71a4300ee0715e208391e13984.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa usawa huu wa JPM zile Dawa za meno za forever watauza buku buku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Eti Haters
 
Aiseee!
Forever living imefanikiwa basi, yaani watu wote nyie mnaielewa na kuifaham.
 
mi kuna mmoja alinitoa boko hadi posta,nisijue ananiitia nini,duu nilipewa semina nakulazimisha nichukue mzigo muda huohuo nilikuwa na pay kidogo,nikakataaa maana nilikuwa natetemeka kwa hasira
 
siku moja nikaambiwa niende nipewe kazi ya mil 5 kwa mwezi, mama aliye niambia hafanani kabisa na mil 5, nikamwuliza unafanya kazi gani ananiambie ooh Nina magari etc, nikajiuliza kama anaweza kunipa mil 5 kwa nini hata gari lankutembelea hana, kiatu chenyewe kimeisha. nikaona isiwe tabu nikaenda kufika Kule in walewale,nikaamua kuondoka, wanaboa sana na niwaongo, wengi wa nao Fanya biashara hii sehemu yao ni motoni. haaa
 
Back
Top Bottom