Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Usitufokee pliz.Na tutaendelea kukutongoza mpaka utukubalie.
Hizo hasira zako zitaisha tu ngoja tutafute hela tuwe nazo kwanza.
 
Usitufokee pliz.Na tutaendelea kukutongoza mpaka utukubalie.
Hizo hasira zako zitaisha tu ngoja tutafute hela tuwe nazo kwanza.
 
kuna izo mtu zinajiona sna na huenda zaweza zisiwe tamu kw nanii....!!
NO OFFENSE
 
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu.

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Una hoja ila una hasira sana...
 
Nna maswali ya msingi mawili

1. Kama kivulana uliona kilikutongoza kishamba kwann ulikikubalia na nguo kukivulia?
Wewe na yeye Nani mshamba Apo?
Tukikuita limbukeni tutakua tunakosea?

2. Kama kivulana Ni kishamba kwann ulikubali kukivulia nguo na ukatanua mapaja kikakupelekea Moto kwa 30mins?
Au ulkua unajiuza?
Ulikua unamalengo gan na kivulana cha watu?
Kumbe kashapelekewa moto?😳
 
Sasa hivi unaringa na kukosoa wanaume wanaokuja kukutongoza eti hawajui kutongoza ila Ukisha fikisha miaka 30+, utaacha ulimbukeni pamoja na kuringa taka usitake..
 
Kuna ulazima gani wa kumtongoza mwanamke ambaye mwisho wa siku atataka hela ,nikuomba mzigo lipa hela kula pita kushoto
 
Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.
📌🔨
 
Back
Top Bottom