Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

Hawa watu wanashangaza mkuu, tangu lini chloroform ikahifadhi maiti.....chloroform haiwezi kuhifadhi hata maiti ya mjusi itakuwa kuhifadhi samaki, tatizo hadi laymen wanajikuta wataalamu...​
Is chloroform toxic?

Chloroform can be toxic if inhaled or swallowed. Exposure to chloroform may also cause cancer. Workers may be harmed from exposure to chloroform. The level of exposure depends upon the dose, duration, and work being done.

Lakini nadhani alimaanisha Formalin.

Usipoteze muda kujadili usahihi wa dawa. Ujumbe muhimu ni samaki kutunzwa kwa kutumia madawa yanayotumika kuhifadhia maiti. Kama upo Kanda ya Ziwa, mtafute mvuvi, akikuamini atakueleza mambo yanayofanyika. Wengi wao hawajui hata jina la dawa, ila tu wanajua kuwa madawa hayo yanapatikana kutoka kwa mortuary attendants.
 
Unazungula, unajichanganya.

Umesema matumizi ya Chloroform madhara yake ni baada ya muda mrefu. Halafu unasema ilikuwa inatumika miaka ya 2000. Halafu eti kwa sababu siku hizi haitumiki, basi haiwezi kuwa sababu ya Kanda ya ziwa kuwa na cases nyingi za saratani.

Kama ilikuwa inatumika miaka 2000, na madhara yake ni baada ya muda mrefu, si ndiyo unathibitisha kuwa madhara ya matumizi ya madawa yaliyokuwa yakitumika hapo zamani, ndiyo yanaonekana sasa?
Mkuu, tena miaka hiyo Sato walikuwa wengi sana hadi Sangara tulikuwa hatumli sana. Na ujue kuwa kwa sehemu kubwa tulikuwa tunanunua samaki fresh kabisa, hawajawekwa kwenye barafu wala freezer. Wakati mwingine unakuta hata hawajakata roho. Kiufupi hao wa chloroform ilikuwa ni kwa ajili ya kuwasafirisha mikoani, kumbuka barabara ilikuwa haijawekwa hata lami kile kipande hapo senkenke kuelekea Singida, so safari ya kuelekea Dar ilikuwa haitabiriki hasa wakati wa mvua. Abiria tulikuwa tunazunguka kupitia Sirari boda-Kenya-Arusha to Dar, njia ndefu ila ni mkeka mwanzo mwisho.
Kiufupi wakazi wa kanda ya ziwa hawawezi kuwa exposed kwenye choloroform kiasi cha kupelekea kesi nyingi za kansa. Yaweza kuwa kuna chanzo kingine kinachoingia ziwani na kuingia kwa samaki na kuleta kansa.
 
Daah! Mm nawaogopa hao samaki kuliko maelezo hivi sasa
Endeleeni na hii kampeni mpaka washuke bei sisi wapenzi wa Sato na Sangara tunufaike.

Maana bei ya hawa Samaki imepanda sana, Sasa hii kampeni itatusaidia walaji tunaoelewa ukweli wa mambo Kwa kununuwa Kwa bei ya chini.
 
Mkuu, tena miaka hiyo Sato walikuwa wengi sana hadi Sangara tulikuwa hatumli sana. Na ujue kuwa kwa sehemu kubwa tulikuwa tunanunua samaki fresh kabisa, hawajawekwa kwenye barafu wala freezer. Wakati mwingine unakuta hata hawajakata roho. Kiufupi hao wa chloroform ilikuwa ni kwa ajili ya kuwasafirisha mikoani, kumbuka barabara ilikuwa haijawekwa hata lami kile kipande hapo senkenke kuelekea Singida, so safari ya kuelekea Dar ilikuwa haitabiriki hasa wakati wa mvua. Abiria tulikuwa tunazunguka kupitia Sirari boda-Kenya-Arusha to Dar, njia ndefu ila ni mkeka mwanzo mwisho.
Kiufupi wakazi wa kanda ya ziwa hawawezi kuwa exposed kwenye choloroform kiasi cha kupelekea kesi nyingi za kansa. Yaweza kuwa kuna chanzo kingine kinachoingia ziwani na kuingia kwa samaki na kuleta kansa.
Lazima kuna kitu kinachosababisha wakazi wa Kanda ya ziwa kuwa na cases nyingi za saratani. Je, ni nini? Ndiyo swali kubwa linahitaji majibu ya kisayansi. Ni yale maji kwa sababu yana vitu vinavyosababisha saratani? Ni samaki kwa sababu kuna vitu wanakula vya ndani ya ziwa ambavyo ni canser causing, ni uhifadhi wa samaki, au kitu gani?

Lakini pia kuna taarifa kuwa, imegundulika kwa upande wa Uganda na Kenya, kuwa jamii zinazozunguka Ziwa Victoria, zina idadi kubwa zaidi ya waathirika wa saratani kuliko maeneo mengine. Hii inatupa clue kuwa cases kuwa nyingi za saratani kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa, kuna uhusiano na Ziwa Victoria.
 
Mkuu hilo ni kweli kabisa, kuna utafiti ulifanywa na watu wa SUA miaka michache iliyopita kuangalia contamination ya heavy metals na other contaminants kwenye ili ziwa. Sijajua matokeo yao walipata nini, nitaitafuta hiyo papaer kama wameipublish. Ila pia ni mkoa wenye migodi mingi na mito yote kutoka maeneo hayo upeleka maji yake ziwa victoria. Kuna wakati walikuta maji ya mto Mara yamebadilika rangi na samaki wanakufa. Wananchi wakilalamika kuwa uenda ni zebaki, uchunguzi wa serikali ukasema si kweli.

Ila maji ya ziwa yanakuwa contaminated sana na pesticides residues na uchafu mwingine mwingi tu.
 
Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".

"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.

"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.

Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?

Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Sasa mkuu tule nini?kwenye kuku nako kwenye firigisi kumeonekana kuna tetesakrini!!maisha ya mtu mwafrika ni Mungu tu ndio wakusaidia tofauti na hapo, ni ngumu.
 
Sinunui tena milele Sato au Sangara, nitanunua wakufugwa tu, sitakaa ninunue tena Samaki wa Ziwa Victoria, mara maji ya maiti mara Mercury.. Sitanunua tena samaki wa Ziwa Victoria, nimeogopa sana, Cancer ni kifo aisee
Kwahiyo wewe umejihakikishia kuishi milele baada ya kuacha kula samaki wa ziwa Victoria?

#MaendeleoHayanaChama
 
Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".

"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.

"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.

Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?

Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Ili kuweka mambo hadharani ni vema ungemtaja huyo mvuvi.

Lakini kutumia mvuvi hewa ili kuipa nguvu hoja yako,tayari na wewe unakuwa huna tofauti kati yako na waziri aliyekanusha bungeni.

Lakini pia umekuwa na ufinyu wa kuelewa kuwa yule waziri hajakurupuka kuongea yale aliyoongea ndani ya bunge.

Ni wazi kwamba huyu naibu waziri ameongea kauli ile baada ya kupewa baraka na mamlaka za uteuzi.

Ni kama vile kuna msigano wa chinichini wa kisuasa baina ya pande fulani.
 
Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".

"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.

"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.

Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?

Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Si kweli kama makamu wa rais yuko well informed kuliko waziri.majibu ya waziri ni sahihi sababu yeye muda wote yuko field na ana taarifa nyingi za wizara yake hivyo ni vzr kuyaamini majibu ya waziri kuliko ya makamu wa rais.
 
Is chloroform toxic?

Chloroform can be toxic if inhaled or swallowed. Exposure to chloroform may also cause cancer. Workers may be harmed from exposure to chloroform. The level of exposure depends upon the dose, duration, and work being done.

Lakini nadhani alimaanisha Formalin.

Usipoteze muda kujadili usahihi wa dawa. Ujumbe muhimu ni samaki kutunzwa kwa kutumia madawa yanayotumika kuhifadhia maiti. Kama upo Kanda ya Ziwa, mtafute mvuvi, akikuamini atakueleza mambo yanayofanyika. Wengi wao hawajui hata jina la dawa, ila tu wanajua kuwa madawa hayo yanapatikana kutoka kwa mortuary attendants.
Kwa kweli hili jambo ni la kufanyia uchunguzi, sema nina muda mrefu sipo maeneo ya kanda ya ziwa, ningeweza kuingia chimbo kufanya udadisi.
 
Back
Top Bottom