Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".

"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.

"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.

Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?

Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Lete ushahidi...chloroform ndio maji ya kuoshea maiti?....
Sad.
 
Daah! Mm nawaogopa hao samaki kuliko maelezo hivi sasa
Samaki maji chumvi tu, hawana mambo mengi
Sikuwahi kuwapenda sato na sangara na hivi nilivyosikia wamekua associated na hayo ma chloroform, mixer kansa ! off the trash they go!
 
Ubaya wa hizi mambo ni kuwa unaweza ukawa makini sana sehemu fulani lakini ukaja kufa kwa jambo la kizembe kabisa..!! Haya, unaogopa Sati na Sangara, kondomu unatumia..? Kwenye magari huwa unavaa mkanda? Sigara vipi, unavuta? etc
Ndio kutapatapa kwa maisha , hujui utakufa kwa lipi!
Yani maisha yana siri nzito na siri zingine hata maana yake haieleweki
Niliwahi uguza mgonjwa wa figo , tukaambiwa tukatafute mtu wa kutusaidia , nikiwa njiani nikushuhudia ajali fatal na watu kama wanne wamefariki, i was like , what a miscommunitaction!! Sisi tunahaha kutafuta donor ili jamaa apone , halafu wengine wanaenda nazo kaburini zikiwa intact!.
 
Tukila nyama wanasema nyama nyekundu ina madhara tule samaki. Tukila samaki ndio madawa tena ya maiti. Basi wacha tule kande
Je, unaonaje ukigeukia pia kwa wanyama/wadudu pori? i.e. Panya, Kware, Njiwa pori, Senene, Kumbikumbi,n.k?
 
Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".

"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.

"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.

Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?

Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Sas ikiwa wanatumia maji hayo mbona waadhirikiaji wengi wa [emoji752] Ni watu wa uko uko Kanda ya ziwa ilitegemewa kuwa bas waadhirika wengi wawe wa mikoani Sasa nitofauti embu waangalie pia migodi na mecury inayotumika

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama ni hivyo maana yake waathirika wakubwa wangekuwa in mikoa ya NJE YA KANDA YA ZIWA kwasababu huko ndio uhifadhi was samaki hufanyika kwa kiwango kikubwa.

Kanda ya ziwa walio wengi hutumia samaki FRESH kutoka ziwani, na siyo samaki waliohidhiwa has a muda mrefu.

Tatizo kubwa LA serikali ya Tanzania haiko tayri kutoa FUNGU LA UTAFITI kuhusu Kansas, wamebaki Kupiga ramli chonganishi kama MAJUHA.

Hapo tusubiri mpaka Sikh MZUNGU akijitolea kutoa FINGU LA PESA ya kufanya utafiti ndio ukweli UTAJULIKANA.

Na yalivyo MAPUMBAVU yatasingizia kila kitu isipokuwa MAJI ya ZEBAKI kutoka MIGODINI, maana huko mabasha yao yanayomwaga ziwani hawataki kuyakasirisha.
Kuna Jambo lingine siyo hao samaki kuna ishu tu sababu za [emoji752] Kanda ya ziwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?
Wasivyo na mshipa wa haya watasema kahongwa na VP
 
Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".

"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.

"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.

Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?

Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Serikali iwajengee uwezo wavuvi kuvua kisasa na kuhifadhi samaki kisasa na kuwasafirisha kisasa, iache kupoteza muda kuficha aibu ukweli unasemwa na mashuhuda wenyewe wako maofisini hawajui yanayojiri ziwani
 
Back
Top Bottom