Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Mfano wako sio relevant.Itakuwa umekariri mkuu. Dawa ya kutukuza maumivu ni Panadol, ukitajiwa paracetamol unagoma. Jinga kabisa
Chloroform haitumiki kuhifadhia maiti (embalming fluid) kama unavyodai umeambiwa na huyo mvuvi wako.
Kuhusu wewe kuniita mjinga, nakubaliana na wewe kabisa na naungana na huyo mvuvi wako (tunakua wajinga wawili).
Na hiyo inathibitisha pasi na kuacha shaka kwamba nchi hii ina ujinga mwingi.