Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hao TuWala matembele ndio watakaosalimika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao TuWala matembele ndio watakaosalimika
Ubaya wa hizi mambo ni kuwa unaweza ukawa makini sana sehemu fulani lakini ukaja kufa kwa jambo la kizembe kabisa..!! Haya, unaogopa Sati na Sangara, kondomu unatumia..? Kwenye magari huwa unavaa mkanda? Sigara vipi, unavuta? etcDaah! Mm nawaogopa hao samaki kuliko maelezo hivi sasa
Sasa kama ni hivyo maana yake waathirika wakubwa wangekuwa in mikoa ya NJE YA KANDA YA ZIWA kwasababu huko ndio uhifadhi was samaki hufanyika kwa kiwango kikubwa.Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".
"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.
"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.
Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?
Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Naacha rasmi kula samaki wa kwenye mabarafu,bahati nzuri niliko samaki fresh wanafika directly kutoka ziwani..Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu".
"Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.
"Kabla ya matumizi ya chloroform Sangara/Sato walikuwa wakipata uvundo kwenye minofu na biashara yao kuwa mbaya" aliendelea kueleza mvuvi huyo wa Sangara/Sato.
Maoni yangu. Kilichofanywa na naibu waziri ni uhuni mkubwa. Anahatarisha afya za watanzania ili tu aendelee kulinda biashara ya samaki hao. Makamu wa rais ana taarifa nyingi na nyeti kuliko naibu waziri halafu kauli yake inazodolewa kizembe namna hii?
Endelea kula Sangara/Sato at your own risk.
Mvuvi anachanganya kati ya Formalin na Chloroform."Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote bila kuharibika" aliongeza mvuvi huyo.
Daah! Kumbe wahuni wamekopi toka nje walikokatazwa wakaanza kutumia hapa ambapo ni bora liende??Katika kufanya research nimekutana na story hii huko India.👇
![]()
The chemical added in your fish is used to preserve dead bodies
<p>Danger is lurking for all the fish lovers! Something is fishy about the fish from Kerala that has raised concerns in states like Goa, Tamil Nadu, Odisha, Assam, Mizoram, Meghalaya, Nagaland and Manipur. The Food Safety Department authorities seized nearly about 10,000 kg of formalin-laced...m.recipes.timesofindia.com
Asantee (in Makonda's voice)Mvuvi anachanganya kati ya Formalin na Chloroform.
Nadhani alikusuduia kuitaja formalin ambayo Formaldehyde iliyo yeyushwa kwenye maji na kuongezwa Methanol kama stabilizer.
Hiyo formalin kweli inatumika kuhifadhia vitu visiharibike kama maiti au nyama au samaki.
Matumizi ya kemikali hiyo hapa nchini yanaweza kuwa kweli ingawa kiongozi huyo amekanusha kwa faida zake za kisiasa na tumbo lake.
Kwa taarifa yake ni kwamba sehemu nyingi duniani hasa bara la Afrika na Asia inatumika sana kuhifadhia samaki na nyama. India maeneo ya Goha waliwahi kufanya msako wakakuta tani nyingi za samaki zimewekwa formalin.
Hii kemikali ikitumika kwa muda mrefu na binadamu husababisha saratani (cancer).
Makamu wa Raisi Dk.P.Mpango yupo sahihi, God bless him.
Inahusiana na nni Mana hapa Kuna Mambo mawiliHiyo dawa uliyoitaja (chloroform) haihusiani na kuhifadhi maiti
Halafu huyo Waziri anajifanya kukanusha, na hizo food safety regulatories zimelala usingizi wa pono.Daah! Kumbe wahuni wamekopi toka nje walikokatazwa wakaanza kutumia hapa ambapo ni bora liende??
Nyongeza What happens when you eat fish laced with formalin - Fish and formalin- The lethal duoDaah! Kumbe wahuni wamekopi toka nje walikokatazwa wakaanza kutumia hapa ambapo ni bora liende??