Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Wameelewa sana ila chuki tu na husda, mtu anakwambia "kuishi Marekani ndio Ushua gani" lol,
Wakati yeye hapo tangu azaliwe hajawahi kutoka hata nje ya Mkoa wake[emoji23]

Kuna mdau mmoja humu aliwahi kuja na Mada ya kuwasema Maskini, japo aliileta kwa ukali sana na akapokea mashambulizi mazito lakini wenye akili timamu tulimuelewa.
 
Hicho ulichoandika kwa wanamuziki wengi wa Bongo sio kweli, yaani hali zao kiuchumi ni kawaida sana kwa mfano kua afisa wa ubalozi unakua wa kishua kivipi?
unasema???? [emoji23][emoji23] ah labda huku JF kwakua matajiri wengi!!
Ila Amin Amin nakwambia kama umeangalia Tv kwa jirani au kwenye mabanda na kwenu choo cha makuti utaelewa mleta mada anazungumza kwahabari ya nini?

Yani mtu anazaliwa dhikini, wazazi wako wametoka Sitimbi huko nako dhiki tupu! unaachaje kuona hao wa kishua? mi kwa upande wangu ni kwakishua tena wakishua hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezaliwa kwenye nyumba ya kupanga na mpaka leo unaishi nyumba ya kupanga bado unamuona mtoto wa balozi sio wa kishua........ndio maana watu walimfurahia sana masikini mwenzao magu pasipo kujua madhara yake..
 
We kumbe ndio uko bandari asaiv, bhas wewe nimchumia tumbo tu miaka yanyuma pale bandarin hata mlinz nimshua napesa nizakumwaga
 
Wana wivu tyuuh hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umemaliza kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe kweli u
wewe kweli ulikuwepo miaka hiyo, hadi kina inspector Harun wakawa waimba "mtoto kwao maini maini tambi kolonya..." yani tambi maini ilikuwa jambo kubwa sanaaa
mimi nakumbuka nilikuwa naenda kwao rafiki yangu nakuta li mkate lizima mezani halijafunguliwa na lingine lipo nusu najiuliza so hawa watu kwao mkate unabaki!!! yani ilikuwa ni jambo la ajabu kuona hivo vitu vinazagaa but as time went on na nyumbani kwetu tukaacha kuwa extended family ikafikia wakati maziwa yanazagaa kweny fridge na tunamwaga chai ya maziwa iliyobaki!!
 
Kuna marehemu mtoto wa dandu na bushoke hao pia wamo kwenye list ya washua
nimepita miaka ya karibuni nyumbani kwao mtoto wa dandu ni kijiji fulani kinaitwa shilanona nadhani,ni njia ya kwenda wilaya ya Ngudu
yule alikuwa ni wa kishua maana center ya kijiji ndio nyumbani kwao yani mashine za kusaga,maduka na mtataka taka yote ni yao
atakayebisha hili ana tatizo la akili,mtoto wa Dandu yule alikuwa wa kishua sana maana imagine vijiji vya Tanzania nzima sidhani kuna kama wao familia yao yani center nzima ni mali yenu na hii ni miaka na miaka ,sio matajiri saaana ila ni washua kwa maisha ya kijijini na hata ki mjini jamaa aliishi uswizi nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…