Humu kuna ubishi wa kijinga sana
Achana na miaka ya 80's 90's hata sasa kwA Maisha ya mtanzania kuwa mtoto wa balozi, wazee kuwa bandari, kusoma shule binafsi huyo wa kishua.
Maisha ya watanzania 90% ni magumu mno, hawana uhakika na mlo mmoja ila tukinunua simu janja tuna anza ligi na kuona kula milo 3 ni kawaida (sisi tunaila kupitia insta, twita ) ila kiuhalisia hata humu wala milo 3 wako wachache mnoooo.
Wote mlio wataja kwA ushahidi mimi kwangu ni wa kishua tena sanaaa nacho weza ni kubisha tu kujipa faraja ya moyo nione na wao ni wa kawaida kama mimi tu