Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
kumbe,namsikiaga tu mfalme wa brunei ana hela nyingi sana mpaka kuna wimbo mzima anasifiwa peke yakeKuna yule faik bolkiah, prince wa Brunei alikipiga leicester city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe,namsikiaga tu mfalme wa brunei ana hela nyingi sana mpaka kuna wimbo mzima anasifiwa peke yakeKuna yule faik bolkiah, prince wa Brunei alikipiga leicester city.
Putin anakusalimuHapo kwa Vanessa Mdee, moyo wangu uko burudaniiiiii.
Mama buttah. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ndio mkuu, washua wa kweli hawanaga showoff
![]()
Watoto wa Kishua… Wasioshobokea taito hiyo
Emmanuel Mkono ‘Nahreel’Makala Boniphace NgumijeASILIMIA kubwa ya vijana hutamani kuzaliwa na kukulia katika familia za ‘kishua’ maana angalau makali ya msoto yanapungua si kama ya vijana waliokulia uswazi. Kwa watu waliokulia kwenye familia hizo zaglobalpublishers.co.tz
Wewe ni Kama mtu wa nne unasema hilo, naanza kuamini.Huyo kwao ubungo external mtoto wa ndgu wa nimrod mkono
Kwahiyo baba yake alikua na pesa mitaa yenu kuliko washua wotejux kakulia kishuani ni moja kati ya majirani zangu pia nimesoma naye shule moja ipo tabata segerea inaitwa happy skil full internation siku hizi wamebadili jina sijui inaitwaje nilimpita darasa moja.marehem babaake ni mtu wa kwanza pale kimara baruti kuwa na benz enzi hizo.so kakulia kwenye pesa..bmkubwa wake alikuwa anafanya kazi bandarini .namkubuka jux enzi hizo anatembelea rava 4 kill time,kabla hata watu hawamjui kimziki tunamjua kitaa na shuleni kwa vile alikuwa ndio msanii pekee shuleni.mengine siyajui
Kunywa wine bili nileteeWote uliowataja ni choka mbaya kwao.... Kiufupi bongo wasanii wote wametoka kwenye njaa tena kali[emoji848]
Mtoto wa kishua haeleweki,ingekua mtoto wa mkono huyo bibie angesumbua watuWewe ni Kama mtu wa nne unasema hilo, naanza kuamini.
Kivipi mkuuMtoto wa kishua haeleweki,ingekua mtoto wa mkono huyo bibie angesumbua watu
Vanessa mdee baba yake alikua balozi wa Tanzania huko Marekani na Ufaransa.Wote uliowataja ni choka mbaya kwao.... Kiufupi bongo wasanii wote wametoka kwenye njaa tena kali[emoji848]
Mkuu, hizi njemba unazobishana nazo zimejaa chuki na wivu, hata angekuwa mtoto wa Bakhresa angekuwa msanii, wangeanza kutaja kina bill gates huko... Mtu yupo kwenye sofa la urithi wa babu hapo kwao kashiba mlenda na ugali anaanza kuandika utumbo 😂Vanessa mdee baba yake alikua balozi wa Tanzania huko Marekani na Ufaransa.
Kama kibongobongo balozi wa nchi Kama Marekani au Ufaransa sio ushua basi sawa.
Brunei Kuna magari mengi kuliko idadi ya watukumbe,namsikiaga tu mfalme wa brunei ana hela nyingi sana mpaka kuna wimbo mzima anasifiwa peke yake
DullayooooHuyo pichan ni Dullayo!!!!!! Msanii pendwa enz zile...
Leo anapiga mizinga tuu...anywe Double kick ......
Mitaa yake BANANA Huko:View attachment 2055053View attachment 2055054
Utakuwa umekuja mjini wakati magufuli anaapishwa, huwezi jua Ni kitu gani jamaa anachoongelea,Me nadhani unatokea familia ambayo ni ya chini sana ndio maana unaona yote hayo ni ushua kwako,kusoma Canada hata wewe kapuku unaweza kusoma kwa scholarship, acha kujifanya wa mjini akati hujui dunia inaenda vipi.bado nakukatalia mama kuwa TPA sio justification ya ushua wa familia,nipe sababu nyingine.
Magufuli alikua Waziri mwandamizi then akawa Rais lakini watoto wake kuna wakati walikua wanasoma udom tu hapo na wengine Tumaini.je hao ni wa kishua au sio wa kishua?
Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushua unaozungumziwa na huyo jamaa ni uwezo wa kula mara 3 na kusoma shule nzuri ki maisha ya kati, yani ushua wa kuwa na nyumba kubwa na kutolala njaa
watoto wa Magufuli kwa mantiki hiyo walikuwa wakishua,inasemwa jesca alikuwa anafuatwa na v8 na kwenda kulala kwa mkuu wa mkoa tulioamishia serikali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsalimu pia.Putin anakusalimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo baba yake alikua na pesa mitaa yenu kuliko washua wote
tafuta mahali niliku quote nikauliza swali hujajibuWacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashangaa na mie hapa lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vanessa mdee baba yake alikua balozi wa Tanzania huko Marekani na Ufaransa.
Kama kibongobongo balozi wa nchi Kama Marekani au Ufaransa sio ushua basi sawa.
Uzi huu au? [emoji23][emoji23][emoji23]tafuta mahali niliku quote nikauliza swali hujajibu