Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Huyo kwao ubungo external mtoto wa ndgu wa nimrod mkono
Ndio mkuu, washua wa kweli hawanaga showoff

 
jux kakulia kishuani ni moja kati ya majirani zangu pia nimesoma naye shule moja ipo tabata segerea inaitwa happy skil full internation siku hizi wamebadili jina sijui inaitwaje nilimpita darasa moja.marehem babaake ni mtu wa kwanza pale kimara baruti kuwa na benz enzi hizo.so kakulia kwenye pesa..bmkubwa wake alikuwa anafanya kazi bandarini .namkubuka jux enzi hizo anatembelea rava 4 kill time,kabla hata watu hawamjui kimziki tunamjua kitaa na shuleni kwa vile alikuwa ndio msanii pekee shuleni.mengine siyajui
Kwahiyo baba yake alikua na pesa mitaa yenu kuliko washua wote
 
Vanessa mdee baba yake alikua balozi wa Tanzania huko Marekani na Ufaransa.
Kama kibongobongo balozi wa nchi Kama Marekani au Ufaransa sio ushua basi sawa.
Mkuu, hizi njemba unazobishana nazo zimejaa chuki na wivu, hata angekuwa mtoto wa Bakhresa angekuwa msanii, wangeanza kutaja kina bill gates huko... Mtu yupo kwenye sofa la urithi wa babu hapo kwao kashiba mlenda na ugali anaanza kuandika utumbo 😂
 
Huyo pichan ni Dullayo!!!!!! Msanii pendwa enz zile...

Leo anapiga mizinga tuu...anywe Double kick ......

Mitaa yake BANANA Huko:View attachment 2055053
IMG_20211223_184534_627.jpg
 
Me nadhani unatokea familia ambayo ni ya chini sana ndio maana unaona yote hayo ni ushua kwako,kusoma Canada hata wewe kapuku unaweza kusoma kwa scholarship, acha kujifanya wa mjini akati hujui dunia inaenda vipi.bado nakukatalia mama kuwa TPA sio justification ya ushua wa familia,nipe sababu nyingine.
Magufuli alikua Waziri mwandamizi then akawa Rais lakini watoto wake kuna wakati walikua wanasoma udom tu hapo na wengine Tumaini.je hao ni wa kishua au sio wa kishua?
Utakuwa umekuja mjini wakati magufuli anaapishwa, huwezi jua Ni kitu gani jamaa anachoongelea,

Unawajua vibosile wa TPA enzi hzo? Au unachukulia poa?

Punguza ujuaji bro! Wakati hujui kitu
 
ushua unaozungumziwa na huyo jamaa ni uwezo wa kula mara 3 na kusoma shule nzuri ki maisha ya kati, yani ushua wa kuwa na nyumba kubwa na kutolala njaa
watoto wa Magufuli kwa mantiki hiyo walikuwa wakishua,inasemwa jesca alikuwa anafuatwa na v8 na kwenda kulala kwa mkuu wa mkoa tulioamishia serikali
Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vanessa mdee baba yake alikua balozi wa Tanzania huko Marekani na Ufaransa.
Kama kibongobongo balozi wa nchi Kama Marekani au Ufaransa sio ushua basi sawa.
Nashangaa na mie hapa lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom