Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Bongo watu sijui huwa wana nini yani mtu akiwa na vijisent tu vya kubadili mboga basi nae anawekwa kundi la matajiri.huyo jux kasoma shule gani ya kishua ambayo watanzania wengi hawaimudu?huko china si alikua anauza nganda au wewe hujui mkuu?

Babu Jux kasoma Esacs mjomba. Kama hujakulia Dar enzi hizo huwezi elewa. Mama kafanya kazi TPA.
 
Me nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?
 
Humjui GWAMAKA wewe wala kakake Good luck hao jamaa ni familia za kishua toka kitambo
Mkuu embu eleza ushua wa kina GK, nimezaliwa ocean road hospital nimeishi mtaa wa chimara nyumba niliyokuwa naishi ni miongoni mwa nyumba zilizovunjwa kupisha ujenzi wa jnicc na bado sikuwa wa kishua, embu nitajie magari waliyokuwa wanamiliki wakina GK enzi hizo GK mtoto
 
Me nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?
Mada inazungumzia ushua yan ile maisha yakula mboga sana nakusoma shule zamaana bila jasho tofauti nalife lakina diamond huko tandale, mada haizungumzii wasanii wabilionea
 
Mana inazungumzia ushua yan ile maisha yakula mboga sana nakusoma shule zamaana bila jasho tofauti nalife lakina diamond huko tandale, mana haizungumzii wasanii wabilionea
hata mimi ndivyo nilivyoelewa mkuu.tunazungumzia ambao kwao mboga saba.kipindi hicho kusoma shule kaliii,nyumba kali pamoja na gari ilikuwa ni ushua
 
Hapo hao wote sio marehemu langa ndio kwao wa kishua baba ake ni kitengo wizara ya fedha..na mama ni lecturer ifm...nyumbani ya tatu kutoka nyumba ya kikwete ..amekua na ridhiwani na miraji kikwete...mwingine ni jay moe..
Sio nyumba ya 3 mtaa wa akina Langa Ni tofauti na akina Ridhiwani japo kote Ni migombani
 
Me nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?

Ndo maana nimekwambia umekulia Mkoani. TPA mtu basic salary 1 million lakini anasomesha watoto 5 Canada. Najua huwezi kuelewa.
 
Me nadhani unatokea familia ambayo ni ya chini sana ndio maana unaona yote hayo ni ushua kwako,kusoma Canada hata wewe kapuku unaweza kusoma kwa scholarship, acha kujifanya wa mjini akati hujui dunia inaenda vipi.bado nakukatalia mama kuwa TPA sio justification ya ushua wa familia,nipe sababu nyingine.
Magufuli alikua Waziri mwandamizi then akawa Rais lakini watoto wake kuna wakati walikua wanasoma udom tu hapo na wengine Tumaini.je hao ni wa kishua au sio wa kishua?
 
Ila wewe si wamkoani kweli? Hahaha
 
Back
Top Bottom