Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Kwa miaka ya 80, 90 mpaka early 2000 kua na gari nyumbani, tv, geti na friji. Watoto wakaenda shule za private huo ni ushua tosha.
Na bado huo pia ni mtazamo wako mkuu, kuna wengine kibao tu wanaoona kuwa na hivyo vitu miaka hii ya sasa ni ushua kamili!
 
Na bado huo pia ni mtazamo wako mkuu, kuna wengine kibao tu wanaoona kuwa na hivyo vitu miaka hii ya sasa ni ushua kamili!
Huyo nae ambae mpaka mda huu atakua kilaza miaka ya siku hizi tv kila sehemu wakati enzi zile ikifika siku ya mchezo wa luninga mtaa mzima tunahamia sebule ya mtu. 😀😀😀 Tumetoka mbali sana
 
Nakuambia na vitabu vya kizungu,chumba cha juu ghorofani![emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo nae ambae mpaka mda huu atakua kilaza miaka ya siku hizi tv kila sehemu wakati enzi zile ikifika siku ya mchezo wa luninga mtaa mzima tunahamia sebule ya mtu. 😀😀😀 Tumetoka mbali sana
Tv sawa ila kumiliki nyumba, gari na kusomesha mtoto(wa) private school technically ni ushua tosha maana GDP per capita ni $1,080
 
Nimeshangaa namimi yani kukulia marekani tu ndio mshua?
Angesema familia yake ina ushua gani tungemuelewa.

Najua R.i.p Langa na G.k ndio watoto wa kishua
Kwa kina GK kuna nini hapo upanga?[emoji849][emoji849] Wabongo mmh
 
Hapo hao wote sio marehemu langa ndio kwao wa kishua baba ake ni kitengo wizara ya fedha..na mama ni lecturer ifm...nyumbani ya tatu kutoka nyumba ya kikwete ..amekua na ridhiwani na miraji kikwete...mwingine ni jay moe..
[emoji122][emoji122][emoji122]
Langa kwao mambo safi hadi leo
 
Back
Top Bottom