Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Bongo watu sijui huwa wana nini yani mtu akiwa na vijisent tu vya kubadili mboga basi nae anawekwa kundi la matajiri.huyo jux kasoma shule gani ya kishua ambayo watanzania wengi hawaimudu?huko china si alikua anauza nganda au wewe hujui mkuu?
 
Imezoeleka wasanii wengi kutokea familia zenye uwezo mdogo kiuchumi lakini pia wapo ambao kwao kwao pesa angalau ilikuwepo.

Vanessa Mdee

baba yake alikuwa kwnye ubalozi Marekani, karudi Tanzania akiwa na miaka 12
anatema yai sio mchezo (aliwahi kuwa mtangazaji Mtv), pia kifaransa anaichapa vizuri tu.
Kukulia kwenye mazingira ya kidini kulimfanya kuwa msanii alejitahidi angalau kwenye nidhamu .

View attachment 2048126

QJ

aliwahi ku hit kwa nyimbo kama sifai na tell me why,
alisomeshwa feza boys, ada yake ni kama milioni 6

View attachment 2048119

Jux

shule aliyosoma sio za serikali ni private, na chuo kasomea nje ya nchi...
pesa ya studio + video ya wimbo wake wa kumtambulisha kweye game alilipiwa na mzazi wake,

View attachment 2048108

Lucci, huyu jamaa aliimbaga wimbo unaitwa Dada kaka akishirikiana na DC wa Temeke
 
Tatizo nyie hamjamuelewa mtoa mada amezungumzia ushua upi,wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga,wengine wametoka mikoani wamekuja dar hawana pa kulala wanalala stendi,mitaroni,kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita yaani kifupi wametaabika sana hadi kufika hapo walipo.Sasa kuna wasanii wachache ambao angalau wazazi wao walikuwa na nafasi ya kuwahudumia kila kitu ambacho ni basic mfano kuwasomesha shule private za hela,milo mitatu kwa siku ya uhakika a.k.a mboga saba yaani kifupi kwenye ukuaji wao hawajakumbana na suluba za maisha HAO NDIO WA KISHUA na mfano ni hao waliotajwa,huwezi linganisha life alilokulia mtu kama linex na jux ni wasanii wawili tofauti katika suala la makuzi na hassling

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Imezoeleka wasanii wengi kutokea familia zenye uwezo mdogo kiuchumi lakini pia wapo ambao kwao kwao pesa angalau ilikuwepo.

Vanessa Mdee

baba yake alikuwa kwnye ubalozi Marekani, karudi Tanzania akiwa na miaka 12
anatema yai sio mchezo (aliwahi kuwa mtangazaji Mtv), pia kifaransa anaichapa vizuri tu.
Kukulia kwenye mazingira ya kidini kulimfanya kuwa msanii alejitahidi angalau kwenye nidhamu .

View attachment 2048126

QJ

aliwahi ku hit kwa nyimbo kama sifai na tell me why,
alisomeshwa feza boys, ada yake ni kama milioni 6

View attachment 2048119

Jux

shule aliyosoma sio za serikali ni private, na chuo kasomea nje ya nchi...
pesa ya studio + video ya wimbo wake wa kumtambulisha kweye game alilipiwa na mzazi wake,

View attachment 2048108
Christina Mroni

Tina.jpg
 
Back
Top Bottom