jux kakulia kishuani ni moja kati ya majirani zangu pia nimesoma naye shule moja ipo tabata segerea inaitwa happy skil full internation siku hizi wamebadili jina sijui inaitwaje nilimpita darasa moja.marehem babaake ni mtu wa kwanza pale kimara baruti kuwa na benz enzi hizo.so kakulia kwenye pesa..bmkubwa wake alikuwa anafanya kazi bandarini .namkubuka jux enzi hizo anatembelea rava 4 kill time,kabla hata watu hawamjui kimziki tunamjua kitaa na shuleni kwa vile alikuwa ndio msanii pekee shuleni.mengine siyajui