Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Siku Moja kwenye mkasi Salama alikua anamhoji Langa...Weee pale room kwake enzi hizo humu wengi mpk Leo wengine hawajafika level za kile chumba cha Langa

Mwingine Sarah Kaisi yule wa Kishua kikweli,
 
Duuh! Ndio mshua wake nini?
Ndio mkuu, washua wa kweli hawanaga showoff

 
Tafsiri ya ushua ina mitazamo tofauti mkuu, kwako afisa ubalozi sio ushua kwa mwingine kupaka blu bendi kwenye mkate ni ushua tosha [emoji23]
Labda tutafute consensus ya maana ya ushua alafu ndio tuendelee na mada
Unasema kweli. Kuna mfanyakazi alikuja home kwangu kwa ajili ya kushughulikia mifugo.

Siku moja akaniambia boss niongezee mshahara kwa sababu wewe ni tajiri sana, unakula vizuri, unalala vizuri,

Alinishangaza sana... kumbe definition ya utajiri inategemeana na mfukoni mwako kuna kiasi gani cha shida au kiwango cha ufikiri
 
Back
Top Bottom