witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ila nimecheka sanaItakua imefutwa kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa huwa ana maneno sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nimecheka sanaItakua imefutwa kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha haha hatariIla nimecheka sana
Huyo jamaa huwa ana maneno sana
Bongo watu sijui huwa wana nini yani mtu akiwa na vijisent tu vya kubadili mboga basi nae anawekwa kundi la matajiri.huyo jux kasoma shule gani ya kishua ambayo watanzania wengi hawaimudu?huko china si alikua anauza nganda au wewe hujui mkuu?
Me nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?Babu Jux kasoma Esacs mjomba. Kama hujakulia Dar enzi hizo huwezi elewa. Mama kafanya kazi TPA.
Umaskini uliokithiriNdiyo ushua?
Utasikia nyumban kwao kulikua kuna geti na dish la dstv enzi hizo 😄😄😄Yaan anaweza zimia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Davido kazaliwa tu Aliko Dangote kambeba kampa blessings, sikilizia Wabongo sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]
Hehehehe...watanganyika wanatokea kwenye umasikini wa kutupwa, DStv tu eti wa"kishua[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]Utasikia nyumban kwao kulikua kuna geti na dish la dstv enzi hizo [emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu embu eleza ushua wa kina GK, nimezaliwa ocean road hospital nimeishi mtaa wa chimara nyumba niliyokuwa naishi ni miongoni mwa nyumba zilizovunjwa kupisha ujenzi wa jnicc na bado sikuwa wa kishua, embu nitajie magari waliyokuwa wanamiliki wakina GK enzi hizo GK mtotoHumjui GWAMAKA wewe wala kakake Good luck hao jamaa ni familia za kishua toka kitambo
[emoji16][emoji16]Banana Hana ushua wowote nimecheza nae kimakuzimakuz, baba yake mwenye ye alikuwa anaishi nyumba ya urithi mtoni sabasaba
Mada inazungumzia ushua yan ile maisha yakula mboga sana nakusoma shule zamaana bila jasho tofauti nalife lakina diamond huko tandale, mada haizungumzii wasanii wabilioneaMe nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimjibu nn?Usimcheke mjibu tu
hata mimi ndivyo nilivyoelewa mkuu.tunazungumzia ambao kwao mboga saba.kipindi hicho kusoma shule kaliii,nyumba kali pamoja na gari ilikuwa ni ushuaMana inazungumzia ushua yan ile maisha yakula mboga sana nakusoma shule zamaana bila jasho tofauti nalife lakina diamond huko tandale, mana haizungumzii wasanii wabilionea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utasikia nyumban kwao kulikua kuna geti na dish la dstv enzi hizo [emoji1][emoji1][emoji1]
Naaam nahuo ndio ushua wabongo kama umezaliwa ukakuta gari nyumban bhas jipige kifua sema wew wakishuahata mimi ndivyo nilivyoelewa mkuu.tunazungumzia ambao kwao mboga saba.kipindi hicho kusoma shule kaliii,nyumba kali pamoja na gari ilikuwa ni ushua
Sio nyumba ya 3 mtaa wa akina Langa Ni tofauti na akina Ridhiwani japo kote Ni migombaniHapo hao wote sio marehemu langa ndio kwao wa kishua baba ake ni kitengo wizara ya fedha..na mama ni lecturer ifm...nyumbani ya tatu kutoka nyumba ya kikwete ..amekua na ridhiwani na miraji kikwete...mwingine ni jay moe..
Me nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?
Me nadhani unatokea familia ambayo ni ya chini sana ndio maana unaona yote hayo ni ushua kwako,kusoma Canada hata wewe kapuku unaweza kusoma kwa scholarship, acha kujifanya wa mjini akati hujui dunia inaenda vipi.bado nakukatalia mama kuwa TPA sio justification ya ushua wa familia,nipe sababu nyingine.Ndo maana nimekwambia umekulia Mkoani. TPA mtu basic salary 1 million lakini anasomesha watoto 5 Canada. Najua huwezi kuelewa.
Ila wewe si wamkoani kweli? HahahaMe nadhani unatokea familia ambayo ni ya chini sana ndio maana unaona yote hayo ni ushua kwako,kusoma Canada hata wewe kapuku unaweza kusoma kwa scholarship, acha kujifanya wa mjini akati hujui dunia inaenda vipi.bado nakukatalia mama kuwa TPA sio justification ya ushua wa familia,nipe sababu nyingine.
Magufuli alikua Waziri mwandamizi then akawa Rais lakini watoto wake kuna wakati walikua wanasoma udom tu hapo na wengine Tumaini.je hao ni wa kishua au sio wa kishua?
Yeah,mimi wa mkoani haswaa.Kwani wewe unapoishi sio mkoa?Ila wewe si wamkoani kweli? Hahaha