Tatizo nyie hamjamuelewa mtoa mada amezungumzia ushua upi,wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga,wengine wametoka mikoani wamekuja dar hawana pa kulala wanalala stendi,mitaroni,kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita yaani kifupi wametaabika sana hadi kufika hapo walipo.Sasa kuna wasanii wachache ambao angalau wazazi wao walikuwa na nafasi ya kuwahudumia kila kitu ambacho ni basic mfano kuwasomesha shule private za hela,milo mitatu kwa siku ya uhakika a.k.a mboga saba yaani kifupi kwenye ukuaji wao hawajakumbana na suluba za maisha HAO NDIO WA KISHUA na mfano ni hao waliotajwa,huwezi linganisha life alilokulia mtu kama linex na jux ni wasanii wawili tofauti katika suala la makuzi na hassling
Sent from my TECNO_W4 using
JamiiForums mobile app