Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Ooooooh sorry sana kwa hilo km huwa nakukwaza, naomba nisamehe bureeh. But sijuagi kuwa serious au kukasirika, mda wote nipo full happy. Ila ahsante kwa kunirekebisha. [emoji120][emoji120][emoji120]
😂kwani mi niko serious ?
 
Ooooooh sorry sana kwa hilo km huwa nakukwaza, naomba nisamehe bureeh. But sijuagi kuwa serious au kukasirika, mda wote nipo full happy. Ila ahsante kwa kunirekebisha. [emoji120][emoji120][emoji120]
twende uzi wa selfika naona unataka mirinda baridii nakutumia picha😅
 
Sema miaka ya 90s hivi mtu kukuta nyumba breakfast kuna mkate wenye blueband na jam, chai ya maziwa ina milo,pembeni nyama ya kusaga na soseji hao walikuwa washua..hapo sijazungumzia mtoto ana kabaskeli kake..mdogo wake mchanga anavaa pampers.

Kwa sisi apeche alolo tunahesabu hao ni washua..ukipiga hesabu home asubuhi ni chai ya rangi sukari kwa mbali na maandazi mawili. Mnaobisha ni au mlikuwa hiyo class hapo juu au mlikuwa zaidi..[emoji23][emoji23]
 
Yes seriously...nimejiuliza mzazi kufanya kazi bandari ndo inakuwa familia ya kishua?
Boss miaka ile, huyo ni wa kishua kabisa. Ukumbuke majority uchumi ulikuwa bado sana..kwa hao wachache hata kama walikuwa wanapata mnachoita kidogo basi hawakuwa sawa na familia karibu 6 au 7 mtaani. Of which walihesabika wa kishua..

Hapo hata watoto wao mkicheza nao rede mnawarushia mpira kidogo kidogo wasiumie[emoji23]
 
Nimejiuliza hivo kwa sababu mimi nafanya kazi huko panapoitwa pa kishua na sioni hiyo tofauti yan, kuna watu wapo taasisi ndogo tu na wana maisha mazuri kuliko Maafisa wengi wa Bandari

Hizi hisia potofu hata Rais Samia anazo, anaamini kabisa watumishi wa bandari wana maisha mazuri kuliko yeyey😀
 
Nimejiuliza hivo kwa sababu mimi nafanya kazi huko panapoitwa pa kishua na sioni hiyo tofauti yan, kuna watu wapo taasisi ndogo tu na wana maisha mazuri kuliko Maafisa wengi wa Bandari

Hizi hisia potofu hata Rais Samia anazo, anaamini kabisa watumishi wa bandari wana maisha mazuri kuliko yeyey[emoji3]
Sasa utafananisha sasahivi na mwaka 1995 ambapo wasomi wenyewe walikuwa wachache na ikapelekea hata hao Waajiriwa kuwa wachache..lazima tu mtaani uonekane mtu fulani uheshimike. Achana na sasaivi kila mtu mpambanaji
 
Kachoka kiafya au unamaanisha nini? Maana Kama ni mwili uko vilevile ni rasta tu ndo hazikuwepo

Mkuu huyu kijana kakulia Atown njiro home ni jumba la ghorofa, unamjua Nimrod Mkono wewe?
Nahreel mtoto wa Nimrod Mkono ,Hawa ni matajiri Sana.Mkono Advocates walifanya kazi hadi Ulaya.Kwa Sasa nadhani Mzee pesa zimepungua Sana.
 
Humu kuna ubishi wa kijinga sana

Achana na miaka ya 80's 90's hata sasa kwA Maisha ya mtanzania kuwa mtoto wa balozi, wazee kuwa bandari, kusoma shule binafsi huyo wa kishua.

Maisha ya watanzania 90% ni magumu mno, hawana uhakika na mlo mmoja ila tukinunua simu janja tuna anza ligi na kuona kula milo 3 ni kawaida (sisi tunaila kupitia insta, twita ) ila kiuhalisia hata humu wala milo 3 wako wachache mnoooo.

Wote mlio wataja kwA ushahidi mimi kwangu ni wa kishua tena sanaaa nacho weza ni kubisha tu kujipa faraja ya moyo nione na wao ni wa kawaida kama mimi tu
 
Wasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central
Hahahahaha daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu kuna ubishi wa kijinga sana

Achana na miaka ya 80's 90's hata sasa kwA Maisha ya mtanzania kuwa mtoto wa balozi, wazee kuwa bandari, kusoma shule binafsi huyo wa kishua.

Maisha ya watanzania 90% ni magumu mno, hawana uhakika na mlo mmoja ila tukinunua simu janja tuna anza ligi na kuona kula milo 3 ni kawaida (sisi tunaila kupitia insta, twita ) ila kiuhalisia hata humu wala milo 3 wako wachache mnoooo.

Wote mlio wataja kwA ushahidi mimi kwangu ni wa kishua tena sanaaa nacho weza ni kubisha tu kujipa faraja ya moyo nione na wao ni wa kawaida kama mimi tu
Classmate wangu wa Advance wazazi wapo bandari tunaanza chuo tu na usafiri na kanipa sana lift. Wakati mimi smartphone yenyewe bila HESLB ungekua mtihani. Nitaachaje kumuita wakishua.
 
Nahreel ukimwangalia wakati bado yuko kwenye kundi la Pah One alikuwa kachoka sana.

Sidhani kama alikuwa na ushua wowote
Nahreal jina lake halisi ni noel mkono
Mtoto wa mkono sasa do the math
 
Back
Top Bottom