Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Kwa miaka ya 80, 90 mpaka early 2000 kua na gari nyumbani, tv, geti na friji. Watoto wakaenda shule za private huo ni ushua tosha.
labda kuanzia 2000 ndio ushua ila miaka ya 80 na 90 kwenda private haikuwa ushua bali ilikuwa unaonekana umefeli kila mtu alikuwa ana fight asome shule ya serikali na ndio maana watoto wengi wa kishua kwa mujibu wa wachangiaji wengi humu yaani watoto wa maafisa wandamizi walisoma shule za serikali za ada ya 5,000TZS kwa mwaka na hata primary wamesoma shule hizi za kawaida labda tofauti tu walikuwa wana lobby wanapata zile shule ambazo zipo location nzuri
 
Kipindi hicho kule Tanga kuna shule za wasichana zinaitwa Mazinde Juu na Kifungilo nakumbuka kipindi cha likizo yale mabus makubwa enzi hizo kama Akamba ndio yanakuja chukua hao watoto. Ingawa ni kweli hapo zamani kulikua na dhana private ni kwa vilaza ila haikua affordable kwa wengi
 
Hawakua wamezaliwa hao,au walikua wa vijijini hukooo siye wa mwananyamala video kwa baba Eliza mtaa mzima na mzee ng'umba tunaelewa mbona!
=77694]JamiiForums mobile app[/URL]
 
Na sio zotee km kifungilo,mazinde juu,shaban Robert na mzizima zilikua za kishua!
 
Wasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenena vyema hio ndo tafsiri nayoijua sio lazima uwe kama mengi au bakheresa ndo uwe mshua
 
Eti ushuwa...

Ushuwa manake nini kwani???

Ova
 
umemsahau Saigon alikujaga na msemo wa "ebana dahh!" na alikuwa na hitsong inaitwa "Rudia" alichukuliwa na EATV miaka mingi iliyopita baada ya kurudi kwa muda nchini Bongo kutoka Uingereza alipokuwa kwa ajili ya masomo akawa kwenye kipindi flani cha cha "Street Hip-Hop" baadae akaacha kazi akarudi Ulaya tena akawa hasikiki... mzee wake mmoja alikuwa serikalini ila baada ya kufariki jamaa akarudi Bongo akawa mtu wa Dini ile mbaya!

Sasa hivi ni bonge la Sheikh anatangaza Redio na TV Imaan ila washkaji zake kina balozi bado wapo intouch sana! Kuna siku moja nilikutana nae Sinza msikitini siku ya Eid akaniambia "Sometimes inabidi uachane na njia zisizo na kheir ufuate zenye kheir ingawa utapoteza watu wengi sana na channel za pesa za haraam ila ni bora zaidi kuwa kwenye kheir. Marafiki zangu hawajanisahau wala kunitupa Alhamdulillah naishi kwa support yao kwa kiasi kikubwa na anytime nikitaka kwenda Ulaya au Marekani kutembea nawacheki zinatumwa invitation naruka zangu ila muziki tena NO!... Maisha mafupi sana!"

Maneno mazito sana aliniambia ila hajaacha vituko na uchangamfu ila kiimani na kimuonekano kabadilika kwa kiasi kikubwa sana! 🙌🏾
 
Ni sweden sio Uswizi. Na yeye ndo alikuwaga Mastermind kwao, saiv hamna kitu tena ingawa ni kweli usemayo.
 
Usingizi Sina...naona tumo wengi humu...[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…