evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Huyu huyu jux aliyekulia Kimara Baruti nyuma ya Bahama Mama .
Umebugi mazee
Umebugi mazee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyuma ya bahamamaa??! acha uwongo mkuu.ungeniambia mitaa ya uwanjani kule sawa yaonekana umehadisiwa.nimekuwa naye nimesoma naye hadi maisha yake ya kimziki nayajua.inshort jux alikuwa wakishua.mtoa mada alimaanisha kwamba wakishua ni yule kwao wazee wake waliweza kuwa na nyumba nzuri,gari zuri, na watoto kusomeshwa shule nzuri....huo ndio ushua wa mtoa mada.Huyu huyu jux aliyekulia Kimara Baruti nyuma ya Bahama Mama .
Umebugi mazee
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu huyu jux aliyekulia Kimara Baruti nyuma ya Bahama Mama .
Umebugi mazee
umemsahau Saigon alikujaga na msemo wa "ebana dahh!" na alikuwa na hitsong inaitwa "Rudia" alichukuliwa na EATV miaka mingi iliyopita baada ya kurudi kwa muda nchini Bongo kutoka Uingereza alipokuwa kwa ajili ya masomo akawa kwenye kipindi flani cha cha "Street Hip-Hop" baadae akaacha kazi akarudi Ulaya tena akawa hasikiki... mzee wake mmoja alikuwa serikalini ila baada ya kufariki jamaa akarudi Bongo akawa mtu wa Dini ile mbaya!
Sasa hivi ni bonge la Sheikh anatangaza Redio na TV Imaan ila washkaji zake kina balozi bado wapo intouch sana! Kuna siku moja nilikutana nae Sinza msikitini siku ya Eid akaniambia "Sometimes inabidi uachane na njia zisizo na kheir ufuate zenye kheir ingawa utapoteza watu wengi sana na channel za pesa za haraam ila ni bora zaidi kuwa kwenye kheir. Marafiki zangu hawajanisahau wala kunitupa Alhamdulillah naishi kwa support yao kwa kiasi kikubwa na anytime nikitaka kwenda Ulaya au Marekani kutembea nawacheki zinatumwa invitation naruka zangu ila muziki tena NO!... Maisha mafupi sana!"
Maneno mazito sana aliniambia ila hajaacha vituko na uchangamfu ila kiimani na kimuonekano kabadilika kwa kiasi kikubwa sana! [emoji1487]
maisha safi yule jamaa... connection anazo nyingi sana! Nje na ndani ya nchi.Kipind hiki cha mfungo kila siku Saa moja anatoa dawa clouds fm
Nimrod Mkono ni tajiri kwelikweli.Kachoka kiafya au unamaanisha nini? Maana Kama ni mwili uko vilevile ni rasta tu ndo hazikuwepo
Mkuu huyu kijana kakulia Atown njiro home ni jumba la ghorofa, unamjua Nimrod Mkono wewe?