Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Huyu huyu jux aliyekulia Kimara Baruti nyuma ya Bahama Mama .
Umebugi mazee
Nyuma ya bahamamaa??! acha uwongo mkuu.ungeniambia mitaa ya uwanjani kule sawa yaonekana umehadisiwa.nimekuwa naye nimesoma naye hadi maisha yake ya kimziki nayajua.inshort jux alikuwa wakishua.mtoa mada alimaanisha kwamba wakishua ni yule kwao wazee wake waliweza kuwa na nyumba nzuri,gari zuri, na watoto kusomeshwa shule nzuri....huo ndio ushua wa mtoa mada.
 
umemsahau Saigon alikujaga na msemo wa "ebana dahh!" na alikuwa na hitsong inaitwa "Rudia" alichukuliwa na EATV miaka mingi iliyopita baada ya kurudi kwa muda nchini Bongo kutoka Uingereza alipokuwa kwa ajili ya masomo akawa kwenye kipindi flani cha cha "Street Hip-Hop" baadae akaacha kazi akarudi Ulaya tena akawa hasikiki... mzee wake mmoja alikuwa serikalini ila baada ya kufariki jamaa akarudi Bongo akawa mtu wa Dini ile mbaya!

Sasa hivi ni bonge la Sheikh anatangaza Redio na TV Imaan ila washkaji zake kina balozi bado wapo intouch sana! Kuna siku moja nilikutana nae Sinza msikitini siku ya Eid akaniambia "Sometimes inabidi uachane na njia zisizo na kheir ufuate zenye kheir ingawa utapoteza watu wengi sana na channel za pesa za haraam ila ni bora zaidi kuwa kwenye kheir. Marafiki zangu hawajanisahau wala kunitupa Alhamdulillah naishi kwa support yao kwa kiasi kikubwa na anytime nikitaka kwenda Ulaya au Marekani kutembea nawacheki zinatumwa invitation naruka zangu ila muziki tena NO!... Maisha mafupi sana!"

Maneno mazito sana aliniambia ila hajaacha vituko na uchangamfu ila kiimani na kimuonekano kabadilika kwa kiasi kikubwa sana! [emoji1487]

Kipind hiki cha mfungo kila siku Saa moja anatoa dawa clouds fm
 
Kipind hiki cha mfungo kila siku Saa moja anatoa dawa clouds fm
maisha safi yule jamaa... connection anazo nyingi sana! Nje na ndani ya nchi.

Maasha'Allah! Mungu amzidishie rizq na azidi kubadilika na kuwa kiigizo chema kwa vijana wa umri wake.
 
Kachoka kiafya au unamaanisha nini? Maana Kama ni mwili uko vilevile ni rasta tu ndo hazikuwepo

Mkuu huyu kijana kakulia Atown njiro home ni jumba la ghorofa, unamjua Nimrod Mkono wewe?
Nimrod Mkono ni tajiri kwelikweli.
 
Back
Top Bottom