Wawili niliowabakisha kama marafiki nao nimewafuta!

kiukweli kabisa kwa nature ya binadamu alivyoumbwa hawezi kuwa na 'marafiki' persee.........

kikubwa ukibahatika kupata mwenza ambae ni zaidi ya mwenza shukuru Mungu, thats all you will get......

sema ubaya tunaangalia mattercore[emoji1746]
 
Rafiki wa kweli ni wewe mwenyewe. Mkeo na familia yako kwa ujumla ni ndugu.
 
Rafiki wa kweli ni wewe mwenyewe. Mkeo na familia yako kwa ujumla ni ndugu.
mke sio ndugu mkuu, wala watoto sio ndugu!
mke/mme ni rafiki,
ndugu ni wale umezaliwa nao tumbo moja,
watoto ni 'wapita njia', umepewa uwaangalie na kuwatunza kwa muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…