financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hee mkuu😀😀🏃♀️Na hata mkeo it's the matter of time mkuu,Mimi rafiki yangu ni phumbuuu zangu bhasiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee mkuu😀😀🏃♀️Na hata mkeo it's the matter of time mkuu,Mimi rafiki yangu ni phumbuuu zangu bhasiiiii
Huyo dogo peke yake hawezi nishinda nataka hadi baba yake aone wivu namna dogo atakavyo furahia mapenzi ya baba yake wa kufikia.Yule jamaa achana nae....kwanza nimemdustbin forever....furaha ni ukiwajibika kutunza familia ....baas
Nataka nizibe pengo ipasavyo jamaa akizingua namdeleteje,yule jamaa asipoyaona hayo utakayomtendea ex wake,siutashindwa kuendelea?.... "Namuwazisha mwalimu tu"
😂😂😂imebidi nicheke tuHuyo dogo peke yake hawezi nishinda nataka hadi baba yake aone wivu namna dogo atakavyo furahia mapenzi ya baba yake wa kufikia.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwanini umecheka teacher[emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke tu
Sijui tu nimecheka mkuu....hulali?
Sina wakunibembeleza ntapataje sasa usingiziSijui tu nimecheka mkuu....hulali?
Tunabembeleza sasa sikuhizi? Mgongo wa nne aisee...kila MTU anageukia kwake
Zile virugu zisizo na maumivu angalau zinaleta usingizi.Tunabembeleza sasa sikuhizi? Mgongo wa nne aisee...kila MTU anageukia kwake
Ni kweli,ni very sweet afu zakuchosha kidogo walala vizuriZile virugu zisizo na maumivu angalau zinaleta usingizi.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Raha sana kama kuna kuelewana na kuheshimiana.Ni kweli,ni very sweet afu zakuchosha kidogo walala vizuri
Kuelewana na kuheshimiana huja baada uwajibikaji mzuri katika familiaRaha sana kama kuna kuelewana na kuheshimiana.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kila mtu si anajua wajibu wake lakiniKuelewana na kuheshimiana huja baada uwajibikaji mzuri katika familia
Kabisa,usiku mwema mkuu....nimechoka kuchat
Na wewe pia ulale unonoKabisa,usiku mwema mkuu....nimechoka kuchat