Wawili niliowabakisha kama marafiki nao nimewafuta!

[emoji848]hyo yesu uungu nani kampa....na toka lini yesu akawa mungu....
WEWE UNAMUABUDU MUNGU WA KIARABU ALLAH.
UTACHANGANYIKIWA KUTAKA KUMJUA YESU MUNGU NA BABA YAKE MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO YEHOVA.
NB: MTOFAUTISHE MUNGU WA WAISLAMU NA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO.
 
Mi marafiki ninao wachache sana ila nikifa nitazikwa na wengi maana kila mtu ni rafiki yangu na huwa ni apo kwa apo
 
Ila kanuni ya maish mpe anaekupa ata kama ni kidogo
 
Rafiki wa kweli ni MUNGU tu.
 
ulilolisema kwenye aya ya mwisho lina ukweli wote.
 
kabisa inabidi tubadilike
 
Lakini bro kwanini tunafanya maisha yawe magumu kiasi hiko?kwanini usimpigie tu hewani mkasikilizana maisha yakaenda.

Kuondoa lawama mpigie kwanza huyo unayetaka kum-text inawezekana ana muda wa kukusikiliza kama hana yeye ndiye akufahamishe kwamba tuma msg siyo unatuma tu wengine text za kawaida hawagangaiki nazo kwa sababu wanadhani ni za makampuni ya simu.
 
“Siku mbili sijalala sijakula
Ninastress
Nyumba imegeuka chumba cha dharura
Emergency
Sioni marafiki ama mashosti
Au mnasubiri nife ndio mniposti
Bora nitafute pesa
Ndugu wa kweli mafanikio
Watu feki watu feki
Sitaki marafiki siwataki ng'o
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Wambie walio nicheat
Wakaniumiza roho
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze
“[emoji350][emoji444][emoji444]
 
ukishaanza kuwa mtu mzima na kufikia hatua ya kuoa ,huwezi ukapata muda wa kulalamikia marafiki
 
Mara nyingi nakaa chini, nawaza hawa ninaoita washkaji/marafiki, wanafaida gani na mimi? Nini wananiongezea ktk Maisha? Nikipata changamoto flani je kuna hata mmoja wa kunisaidia kwa haraka?

Mara nyingi mimi ndio backup yao, mtu anakupigia simu anakwambia shida zake na anakazia kabisa kwamba ameona mimi ndio wa kumuokoa haoni sehemu nyingine. Sasa nawaza kwanini kwenye shida ndio mtu unapewa kipaumbele?..

Kwa kweli Maisha ya Urafiki ni kwa vijana waliovyuoni etc.. ila ukishaanza Maisha ya kujitafuta, Maisha ya kujijenga kiuchumi Marafiki sio wa kuwaweka karibu..

Inatakiwa kutofautisha neno MTU wa KARIBU na RAFIKI.

Pia watu unaofahamiana nao na RAFIKI.

Soo kuna levels..
 
Inasikitisha sana....lkn chakushangaza mm hua nasaidiwa nawatu nisiowatarajia kabisa in hard times..hadi najisemea hivi marafiki zangu mbona wanafeli hivi..asimlia 99%ya misaaada niliyowahi kuiomba kutoka kwa marafiki hawakunisaidia bali nimesaidiwa nawatu ambao wamejitokeza tu on the way .hata sikuwahi kuwafikiria kabisa..hii ni personal life experiences.
 
Paragraph ya mwisho mzee umebugi big time.... Kama kweli ndio ilivyo kama ulivyoandika hapo I promise you utakuja kulia hapa tena, just a matter of time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…