MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hizi ni facts sio chuki.....
Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia.
Kinyue chake pia vivyo hivyo, wakijiunga Sunni watachukiwa sana na Iran, Lebanon n.k.
Wakiamua wajiunge Sufi, watachukiwa au kuuawa na Sunni pamoja na Shia, yaani watawekwa mtu kati na kupigwa na wote, ukanda huo watu hulipuana hata kwenye misikiti kisa milengo ya kiislamu.
Kwa hivyo pale hatima yao wapambane tu kwenye Uyahudi wao maana na wenyewe imeagizwa wauawe wote ukifuata maandiko haya hapa chini kwenye uislamu, halafu kainchi kenyewe ukilinganisha na hayo mataifa yaani unakubali kweli Mungu wao amekalinda sana tangu enzi za mitume.
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
www.quora.com
Hivi kwa Afrika hapa akina brazaj ni mlengo upi

If all Israeli Jews converted to Islam, would there be peace in the Middle East?
Anthony's answer: Which branch of Islam? If they converted to Shia Islam to please Iran, Gaza, the West Bank and Yeman. All the Sunnis would want to kill them and start a war with the newly formed ‘Shia Israel’. Egypt on Israel's border is Sunni. They would want to kill them for being Shia for d...