Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

mbaya wao ni nani mkuu


trump tapeli sana, sema kaja weka wazi mambo mengi sana, maana nilitarajia mpaka sasa kungekua na maandamano makubwa sana pale trump republic
Dunia inaanza wakataa wahayudi polepole 😁 wanakuja na propaganda za kutishia samson options ,punde sio punde 😁
 
Reactions: Lax
mbaya wao ni nani mkuu


trump tapeli sana, sema kaja weka wazi mambo mengi sana, maana nilitarajia mpaka sasa kungekua na maandamano makubwa sana pale trump republic
Hao wacongo aliyewakata mikono ndiye mbaya wao
 
Reactions: Lax
Dunia inaanza wakataa wahayudi polepole 😁 wanakuja na propaganda za kutishia samson options ,punde sio punde 😁
Dunia ipi hiyo inayoanza kuwakataa wayahudi? Hii hii tuliyomo au kuna nyingine?
 
Reactions: Lax
Dunia ipi hiyo inayoanza kuwakataa wayahudi? Hii hii tuliyomo au kuna nyingine?
yule mayor/ mkuu wa wilaya kule uholanzi kwenye sakata la mashabiki kwenye mechi ya europa unakumbuka nini kilitokea, majibu ya serikali na baadae ukweli uliobainika?
 
Baada ya mahojiano ukiingia comment section watu wa mataifa mbalimbali wanawashangaa kabisa, mpaka mabwabwa ya kiyahudi nayo yanatema nyongo😁
Kwenye mabwabwa hao jamii zote yapo, palestina, arabuni, wazungu Hadi huku afrika na wote hutema nyongo mtandaoni. Hii hoja Yako ya kuhisi wayahudi ni mabwabwa haina nguvu maana wotw tunajua mabwabwa hadi huku kwetu vijijini yapo
 
yule mayor/ mkuu wa wilaya kule uholanzi kwenye sakata la mashabiki kwenye mechi ya europa unakumbuka nini kilitokea, majibu ya serikali na baadae ukweli uliobainika?
Haina hata haja ya kujibu😅
 
Reactions: Lax
Rotschild ile familia ina mchango mkubwa lakini pia hawa jamaa wapo vizuri kwenye nyanja mbali mbali mpaka wanaanza kupelekwa kwenye Concentration Camp walikua wameshika sana uchumi wa Ulaya Mashariki. Kwa nature yao ni watu aggressive sana ndo maana walipressurise sana wapate taifa lao, kuanzisha taifa siyo jambo dogo mfano mrahisi leo angalia Wakurdi wapo zaidi ya 60M lakini kupata taifa imekua ngumu.
 
Unazungumziaje waislamu ambao kupitia Quran wameamrishwa wawachukie wayahudi? Muislam yoyote oli uwe umekamioika lazima uwalaani na kuwachukia wayahudi
 
yule mayor/ mkuu wa wilaya kule uholanzi kwenye sakata la mashabiki kwenye mechi ya europa unakumbuka nini kilitokea, majibu ya serikali na baadae ukweli uliobainika?
Unaniuliza kitu ambacho wewe ndio ulitakiwa ukiseme.

Kuhusu hayo matukio basi tuseme hata sisi blacks Dunia inaanza kututenga maana watu influential kama Vini Jr wanakumbana na ubaguzi maana yake Dunia imeanza kututenga blacks?
 
Ashkenazi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…