Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Duh😅
 
Kwanza kabisa, napenda kusimama upande wa mtoa hoja bigmaan kwa sababu uchambuzi wake umeweka msingi thabiti wa kimantiki, huku hoja za echolimal zikionyesha wazi kupotoka kwa mihemko, matusi ya kibaguzi ("Waarabu-koko"), na kutumia mada za pembeni (kama teknolojia) kukwepa ukweli wa kihistoria. Ili kuweka mjadala huu katika kiweledi wa hali ya juu na muktadha wa haki za kibinadamu, ni lazima tufafanue mambo yafuatayo:

1. Uhalisia wa Historia ya Ulimwengu na Upofu wa Itikadi
Mchangiaji bigmaan yuko sahihi 100% kimantiki na kihistoria. Kuangazia dhuluma inayotokea Palestina hakumaanishi kuwa mtu "amemezeshwa chuki dhidi ya wazungu" au kwamba ulimwengu haujui mateso mengine. Ni ukweli wa kihistoria kuwa ukatili wa kibinadamu umewahi kufanywa na jamii karibu zote huko nyuma: Waafrika walifanyana watumwa, Wajapan walitesa Asia, na wakoloni walikaribia kuwafuta kabisa Wa-Aboriginal wa Australia na wenyeji wa Amerika. Uelewa huu mpana wa kihistoria ndio unaotupa mamlaka ya kiweledi kusimama na kulaani dhuluma popote inapotokea—iwe ilifanywa na wazungu huko nyuma, au inafanywa na serikali ya Israel leo.

2. Udhaifu wa Hoja ya "Kutetea Dhuluma kwa Kutumia Teknolojia"
Mdau echolimal anadai kuwa "Israel inaendelea vizuri na ugunduzi wa teknolojia mpya za kujihamu na kuisaidia dunia" kama ngao ya kuisafisha. Kiweledi, hoja hii haina mashiko kabisa katika sheria na utu wa mwanadamu. Kupiga hatua kwa teknolojia ya nchi (iwe katika AI, tiba, au usalama wa kimtandao) hakujawahi na hakutawahi kuwa leseni ya kukanyaga sheria za kimataifa, kupora nyumba za wenyeji, kubadili vitasa, au kuwanyima uhuru Wapalestina. Hata nchi za Ulaya zilizovamai na kuangamiza mifumo ya Wa-Aboriginal na Wa-Red Indian zilikuwa na teknolojia kubwa na za kisasa zaidi wakati huo, lakini hiyo haikufanya ukatili wao uwe wa haki. Maendeleo ya kisayansi hayafuti dhuluma ya kijeshi wala lugha ya chuki kama matumizi ya neno "Waarabu-koko."

Hitimisho
Kama alivyofafanua vizuri bigmaan, mtu anayeitazama historia kwa jicho la Palestina na Uarabu tu bila kuona dhuluma pana za kidunia anakosa upeo. Lakini upumbavu mkubwa zaidi ni ule wa echolimal wa kutumia maendeleo ya kiteknolojia ya leo kama sababu ya kufanya upofu wa makusudi dhidi ya uonevu, uporaji wa nyumba unaothibitishwa hadi na pasipoti ya Golda Meir, na mateso yanayowapata Wapalestina. Mateso na uonevu ni uonevu tu, haujali rangi ya mtu, dini yake, wala kiwango chake cha teknolojia.
 
Huyu jamaa Echolima1 ana shida kichwani. Nimeuliza swali kuhusu wayahudi yeye analeta habari za waarabu.
 
Hiyo sio kuhusu imani , anahoji mitazamo ya wayahudi kuhusu palestina ,kwenye imani kuna majamaa yana amini hao ni wateule
Namfatilia sana..
Itoshe kusema Israel wana roho mbaya sana kuzidi hata Simba aliyejeruhiwa. Hao jamaa kumuua Mpalestina hawawazi yaani kama kuua kuku vile🙌
 
Unatetea UHARO ni kwa sababu na wewe ni ** Mwarabu-koko** ndiyo maana huoni mabaya wanayofanya magaid wa Kipalestina hasa kwa ujinga na upumbavu walioufanya Oct 07,2023 na kusababisha Gaza iwe Majivu na vifusi!!

Hakuna nchi inayoitwa au inayotambulikana kwa jina la Palestina ni ujinga wenu tu na story za vijiweni vinawasumbua akili!!!

Mungu aliwapa akili kwa nini hamzitumii kufikiri matokeo yake mnakalia kulishwa Matango-Pori na waarabu tu?

Mlipoletewa dini ndiyo ikawa chanzo cha ninyi kujitoa Ufahamu na kusifiana sifiana kijinga?

Kuanzia leo weka akilini mwako hakuna nchi Inayoitwa Palesti haikuwepp na haitakuwepo!!
 
Afadhali umeleta hii mada. Nilitaka kuileta hii mada, nimekuwa nikimfuatilia huyu jamaa kwa muda mrefu na kwa kweli akili za Waisraeli zinasikitisha sana. Wengi wao wana roho chafu na za kishetani kama serikali yao.
There's no way Israelites are real human beings 🚮
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Endeleeni kulishana Matango-Pori tu!!

Pamoja na uongo wote huo mtanyooka tu mbele ya Taifa-teule!!!
 
Namfatilia sana..
Itoshe kusema Israel wana roho mbaya sana kuzidi hata Simba aliyejeruhiwa. Hao jamaa kumuua Mpalestina hawawazi yaani kama kuua kuku vile🙌
Kwa ujinga wako hata hujui Oct 07,2023 magaidi hao walifanya nini huko Israel!!
 
Hayo makahaba ya kiyahudi yametukana kabisa😅
 
Endeleeni kulishana Matango-Pori tu!!

Pamoja na uongo wote huo mtanyooka tu mbele ya Taifa-teule!!!
Mimi siko upande wowote
Ila nachukia kujustify mauaji ya watu wasio na hatia. Kama Mungu wenu anasupport mauaji ya watoto Gaza basi mnamuabudu Mungu mpumbavu sana, takataka kabisa
 
Mimi siko upande wowote
Ila nachukia kujustify mauaji ya watu wasio na hatia. Kama Mungu wenu anasupport mauaji ya watoto Gaza basi mnamuabudu Mungu mpumbavu sana, takataka kabisa
Hahah unapoteza mda wako bure bwashee, ubongo wa mtu ukisha jaa mavi unaachana nae tu
 
Mimi siko upande wowote
Ila nachukia kujustify mauaji ya watu wasio na hatia. Kama Mungu wenu anasupport mauaji ya watoto Gaza basi mnamuabudu Mungu mpumbavu sana, takataka kabisa
Ni ngumu sana kujadiliana na mtu aliye brainwashed. Unapoteza muda tu kaka.
 
Namfatilia sana..
Itoshe kusema Israel wana roho mbaya sana kuzidi hata Simba aliyejeruhiwa. Hao jamaa kumuua Mpalestina hawawazi yaani kama kuua kuku vile🙌
Na mabichwa yao yamejaa matusi , matoto ya Mungu hayo😅
 
We jamaa umeshawahi isoma charter ya Hamas, charter yao wameitohoa kwenye hadithi na quran, ikisisitiza kuangamiza uyahudi na manaswara
 
We jamaa umeshawahi isoma charter ya Hamas, charter yao wameitohoa kwenye hadithi na quran, ikisisitiza kuangamiza uyahudi na manaswara
Israel iliiteka gaza na West Bank 1967 Hamas iliianzishwa 1987 , fikiria hapo utapata jibu
 
We jamaa umeshawahi isoma charter ya Hamas, charter yao wameitohoa kwenye hadithi na quran, ikisisitiza kuangamiza uyahudi na manaswara
Hamas waliibuka tu nakuanza kupambana bila shida yoyote kumbe?
 
We jamaa umeshawahi isoma charter ya Hamas, charter yao wameitohoa kwenye hadithi na quran, ikisisitiza kuangamiza uyahudi na manaswara
Sasa Hamas ndio watoto wadogo wa Gaza? Kwa nini wasigombane na Hamas wao wanaenda kuua innocent civilians?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…